Airbnb ni salama zaidi kwa wanaochepuka kuliko guest house

Aisee nataka kitu kama hiki.
Tatizo husemi procedures za kufanikisha , wengine ndo tumesikia leo hiyo Airbnb
Sehemu za kujifungia hizi mwaisa, unyama mwingi utendeke. 🤣
 
Uswazi nyingi zipo vrbo
 
Bujibuji Simba Nyamaume uko Dar siku hizi? Fanya tutafutane kama uko mjini. Mara ya mwisho tulikutana East African Hotel Arusha 2013 au 2014 na wote tuliokuwa pale nadhani ni wewe tu hujabadilisha ID😂
Tuliwahi kutana kwenye KiliFare 2019 Arusha yaani nilikua nawachora tu. Uzuri hata main I'd yangu nishabadiri😂
 
Hahah... Aisee
 
kuna mtu aliingia akachagua location ya kwenye boat ili alie mbususu kwenye maji aliona samaki wanafaidi sana kilichotokea wakanusurika kufanywa keki na papa...yupo hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaonekana mbususu yake ina chumvu nyingi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaf anakuambia pombe zilikata na nyege zilisepa
 
Nyie mbuzi mna mbinamu za hatar hatar sana[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…