connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,190
- 3,039
Emirates wanafanya kufuru. Nilishawahi kumwea hiyo A380 nikakakaa UPPER DECK Dubai-San Francisco full Raha kmmk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie si mkinunua ki ndege cha kawaida tu hua mnafungua thds humu za kuisema serikali yenu? Siku wakinunua ya hivyo si mtalala humu JF na kutukana kila aina ya matusi?TANZANIA TUTAKUWA NA KAMA HIYO LINI
Kwani wagalatia wao hawaishi ndani ya Bongo? Kwanini wao wasilete hayo maendeleo? Ndio kwanza matajiri wakubwa wengi wa bongo ni wa hiyo dini unayoichukia wewe.Kisiju kuna maeneo ya kula starehe kweli au huko ni mwendo wa adhana tu.
Nioneshe post yangu yeyote humu inayoichukia dini, huko kisiju kwenyewe nimepafahamu kupitia mtoa mada kwenye uzi wake mwengine.Kwani wagalatia wao hawaishi ndani ya Bongo? Kwanini wao wasilete hayo maendeleo? Ndio kwanza matajiri wakubwa wengi wa bongo ni wa hiyo dini unayoichukia wewe.
Kupanda A380 unaita kujifagilia?Kuna mtu kakuuliza kama ulishapanda A380? Miswahili kwa kujifagilia hawajambo.
Najua bàsi?Kupanda A380 unaita kujifagilia?
Iliwachukua muda gani angani?Emirates wanafanya kufuru. Nilishawahi kumwea hiyo A380 nikakakaa UPPER DECK Dubai-San Francisco full Raha kmmk
Masaa mangapi angani?Inategemeana na setup ya ndege, nishawahi kuupanda huu mdude maramoja toka mumbai to abudhabi unakula watu 800
Masaa 16 (non-stop).Iliwachukua muda gani angani?
Jitahidi usichelewe mana kampuni nying zinzozimiliki zinazigeuza kuwa cargo plane. Pacha wake B 747 kashasanda upande wa abiriaHuu mdude ipo siku yake naukwea
Haha nitawahi kablaJitahidi usichelewe mana kampuni nying zinzozimiliki zinazigeuza kuwa cargo plane. Pacha wake B 747 kashasanda upande wa abiria
Mkuu kwann wanazigeuza cargo Kwa abiria hailipi?Jitahidi usichelewe mana kampuni nying zinzozimiliki zinazigeuza kuwa cargo plane. Pacha wake B 747 kashasanda upande wa abiria
Akikujibu nitagMasaa mangapi angani?
Wenzenu wale wanauza mafuta, nyie gesi na madini mmebinafsisha, mtasubiri sana!TANZANIA TUTAKUWA NA KAMA HIYO LINI
Ni hao wenyewe na maushungi yao humo ndani ila mpunga uwe nao wa kutosha.A380 hukutani na wauza nnyapu