Airbus A380 - Emirates - King of the Sky

Airbus A380 - Emirates - King of the Sky

Huu mdude ipo siku yake naukwea
 
Waarabu awamu ya nne walikuwa wanajipimia kila walichokipenda kupeleka kwao uarabuni.

Madege makubwa ya mizigo yalisomba kila aina ya raslimali kwenda kwao uarabuni.

Watanzania walipiga kelele lkn kwa kuwa waarabu walikuwa na kiburi juu ya utawala uliokuwepo hawakujali waliendelea kusomba.

Nawaza tu huko bandarini wataiba kiasi gani?
 
Kwani wagalatia wao hawaishi ndani ya Bongo? Kwanini wao wasilete hayo maendeleo? Ndio kwanza matajiri wakubwa wengi wa bongo ni wa hiyo dini unayoichukia wewe.
Nioneshe post yangu yeyote humu inayoichukia dini, huko kisiju kwenyewe nimepafahamu kupitia mtoa mada kwenye uzi wake mwengine.
 
Back
Top Bottom