Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa! Ndiyo maisha manmaisha hayajawahi kua sawa wakati mwingine anawaza bundle la internet ,mwingine anawaza jioni ale nini
Maisha hayajawahi kua sawaHahahaaa! Ndiyo maisha man
Uko mitaa ipi mkuu
Niko Mwanza mkuu..Uko mitaa ipi mkuu
Huibiwi kitu aiseeBando Kwa Sasa mitandao yote wanabunya sio kutafuna
120,000 kwa mwezi unatumia hadi uchoke wewe4G tu sitoboi [emoji13]
5G nitachanika msamba [emoji2223][emoji2088]
Ni wewe na pesa yako5G,Bongo labda Kama 4G tu ni shida sembuse hiyo.
120,000 kwa mwezi unatumia hadi uchoke wewe
VodaMtandao gani mkuu?
Voda
Mi nilipewa device bure...Hapo si nje ya cost ya kununua ile CPE device, 950k kama sikosei.
Mi nilipewa device bure...
Sisi ni wale wa kwanza kwanza
Ndo hivyoDah basi mlipata bahati sana aisee