Watu Hawakurupuki Kwenye Mambo Ya Biashara,,Ukikurupuka Wewe Ukajaa Unagongwa Kiakili mnoo.( Hulipii tena gb unalipia speed)
Wizi umejificha hapa
HApana, wapo wengi wanaoweza,KUna vitu muwe mnashirikisha akili.
Hivi ni Watanzania wangapi wanaweza kuafford hizo huduma?
Buku buku ndio uwezo wa Watanzania 99.9%
Ili unvyotumia ujisikie raha zaidi kama unavyotumia NyashTigo tatizo lao wamekuja na jina gani sijui, jina la ajabu hata sijui ni nn, kuwa na jina zuri linavutia wateja, sijui wameamua kuita kabisa Nyash wameona Tigo sio jina tena
Hakuna kitu kama hicho, tembea Tanzania ujionee jinsi kauli yako ni uongo mtupu. Kati ya Watanzania 10 ni wangapi wana router?Hao watanzania sasa, wanavyozinunua kwa pupa hizo router, 😀😀 hiwezi kuamini maneno yako...
Ni kweli wenye router ni wachache ila taratibu watu wameanza kutoka huko. Router zinanunuliwa sana mkuu. Nimeona hili kwa macho yangu...Hakuna kitu kama hicho, tembea Tanzania ujionee jinsi kauli yako ni uongo mtupu. Kati ya Watanzania 10 ni wangapi wana router?
Halotel wana unlimited mkuu?Halotel Home Wifi is the best, router bure na vifurushi vyao inaanzia 70k kwa mwezi na speed 20mb/s hicho ndio kifurushi cha chini na 95k kwa speed ya 40mb/s kwa mwezi na hicho kinatosha sana unlimited, Halotel wamekamata Dar sio mchezo
Inaanzia 70 elfu, sijui ni 10mbs ama ni 20 mbs, kisha 95 elfu hii ni 40mbs, na kuendeleaYa halotel kwa mwez ni bei gani?
NdioHalotel wana fibre?
Ndio.Halotel wana unlimited mkuu?
Ok,nataka line hiyo naipataje,infact niko mikoani,ila nataka kutumia line yangu ya kawaida je?Kifurushi cha chini ni cha wiki ambacho kwa elfu 5 unapata GB 4.
Ila vifurushi vizuri ni vile vya mwezi ambavyo bei yake ni kama ifuatavyo:
15K = 18 GB
30K = 38 GB
50K = 68 GB
75K = 110 GB
100K = 210 GB
Mi nilichukua cha laki moja na mambo yako poa tu maana sina matumizi makubwa na device ninazotumia ni PC na simu tu...
Nimeuliza unajua maana ya unlimited Internet? Porojo za nini?Soma vizuri nimeandika ni vifurushi vya speed.
Kuna kifurushi cha 10 Mbps kwa 70,000, 30 Mbps kwa 110,000, 50 Mbps kwa 150,000, n.k.
Zinanunuliwa na wachache sana. Na hao wanaonunua zinawashinda wanarudi tena kwenye mabando ya siku na wiki.Ni kweli wenye router ni wachache ila taratibu watu wameanza kutoka huko. Router zinanunuliwa sana mkuu. Nimeona hili kwa macho yangu...
Halotel wana unlimited mkuu?
Watu wanazinunua sana mkuu na wengi wanaziweka kwenye biashara zao kama saluni za kike na kiume ili wateja wakienda watumie bure ni kama kuvutia wateja, kwenye maduka ya vinjwaji, bar, lodge, hotelini ndogo ndogo, sehemu kibao hata saluni za kawaida mkuu.Zinanunuliwa na wachache sana. Na hao wanaonunua zinawashinda wanarudi tena kwenye mabando ya siku na wiki.
Tatizo mnafikiri Tanzania ni hapo M/City na maduka makubwa zinazouzwa hizo router
Watanzania wengi kwanza hawajui hata router ni nini.
Hili taifa bado lina umasikini mkubwa sana wa kipato cha mtu mmoja mmoja
mkuu hii ndiyo nitanunua nikihama maana naona ina ping ya chini sana aisee. hata fier ninayotumia haioni ndani kwa screenshot hiiYes, Viettel au Halotel wanayo Unlimited Home Wifi Internet kali sana, i am using it for a year now, see below test speed na bei zake rafiki sana na ina coverage hadi meter 100 na unlimited bando kwa mwezi na unlimited number of people kujiunga ukiwa home, yaani hata watu 100 mnajiunga
View attachment 3171047
Kati ya salon na hotel ndogo 10 hapa Tz ngapi zina router?Watu wanazinunua sana mkuu na wengi wanaziweka kwenye biashara zao kama saluni za kike na kiume ili wateja wakienda watumie bure ni kama kuvutia wateja, kwenye maduka ya vinjwaji, bar, lodge, hotelini ndogo ndogo, sehemu kibao hata saluni za kawaida mkuu.
Pia watu ambao walikuwa unakuta kila sikua anatumia bundle ya 2500 kwa internet na bado halimtoshi, anaona hiyo ndiyo bora zaidi.
Lakini overall ni asilimia chache ya watanzania, lakini wa tanzania ni zaidi ya milioni 60, hata wakinunua watanzania laki mbili bado kwao ni biashara.
mkuu hii ndiyo nitanunua nikihama maana naona ina ping ya chini sana aisee. hata fier ninayotumia haioni ndani kwa screenshot hii
sasa unaniuliza hili swali unadhani nimefanya research naweza kukupa exact number? Ila mimi kila lodge ninayoenda hapa dar katika harakati za uzinifu nakuta wifi tena ni zile za 25000-35000, napoishi, nikienda sokoni kwenye saluni za kike na kiume kuna wifi, tena waameweka hadi vile vispka. Tunatoa huduma ya kunyoa nywele na mteja atapata free wifi.... Rafk zangu ninaozunguka nao wanatumia hizi router, mimi mwenyewe nimefnga fiber ila nahama soon nitanunua router maana nakohamia hakuna fiber.Kati ya salon na hotel ndogo 10 hapa Tz ngapi zina router?
mkuu ni wifi au fiber? kama ni fiber huku nakoishi natmia ya tigo ya speed 20 mbs kwa 55000 sasa nitahama nahamia mapinga hakuna fiber kabisa nilidhani ni router nije niichukue.Nzuri sana hii, hata ukiwa na Lodges or hotels zako unanunua halotel ya 95k per month kama hii hapa kwangu, wateja wote wanatosheka na haikati kati, very stable speed, sbb ni fiber, yaani fiber speed yake ni uhakika kama US or Europe..!!
Nenda kwenye duka la halotel watakusajilia maana laini ya kawaida haikubali. Hata namba zake ni tofauti kabisa, zinaanza na 300 na siyo 062 kama hizi za kawaida...Ok,nataka line hiyo naipataje,infact niko mikoani,ila nataka kutumia line yangu ya kawaida je?