kwa-muda
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 2,097
- 5,348
Kenya wanaifaida kuna bundle 50gb kwa kes 1600, kuna 6500 hadi mbs 100 speed unlimited. Lakini kwa mtanzania bado atalalamika maaba 6500 ni almost 130000 za kitanzania na hapo wao wanaona ni cheaper kuliko safaricom na ndio maana safaricom wanahaha.Hivi Star Link ya Elon Musk imeishia wapi?
Ila madai ni kwamba starlink katikati ya jiji la nairobi haifanyi kazi poa kwa sababu ya majengo marefu na safaricom signal boosters zina affect mawimbi yake so kupata hizo speed ni ngumu wangine wanadai iko slow sana.
Ila nje ya nairobi wanasema speed yake ni kubwa balaa.