Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

Airtel inazidi kutanua soko la Unlimited internet, Vodacom na Tigo wakiendelea kushupaza shingo watastuka soko lishamezwa

Tatizo la fibre ni mpaka uwepo eneo ilipofungwa huwezi kutembea nayo, ipo maeneo machache na umeme ukikatika router inazima.
Fibre walitakiwa waunganishe na line yako ya simu ya mtandao husika ili uwe una access ya kutumia internet yako hata ukiwa nje ya eneo la nyumbani. That would do the trick kama kwa vifurushi vya dstv na azam.

Hata ukiwa nje ya home una access kwa simu unatazama vipindi online.
 
Mbs 25,are you mad,kwahiyo unafunga na kuomba kwa mb 25
Kwani wewe unapata speed ya ngap siku zote tuanzie hapo.
Kwa kawaiada huwa unapata speed ngapi kwenys simu?
Hiyo speed ya mbs 20 nina stream, ninadowload, ninafanya calls bila shida kwa devices zangu kuanzia tv, simu na pc 2.
 
Suluhisho ni huduma ya unlimited internet na hadi sasa Airtel ndie mwenye nafuu, Gharama za matumizi binafsi ya data zimepunguzwa sana Na nyumbani/ofisini hakuna tena ule usumbufu wa kuombwa hela za bando

Vodacom na tigo wana huduma za unlimited lakini ni ghali, Kujisali inabidi ununue router ya bei ya chini 250,000, vifurushi vyao vya chini kabisa ni 120,000
Niko nabishana nao huku wanasema ati cheap is extra expensive
 
Hiki kinafaa uwe na mkeo au mumeo tu, labda na house members kadhaa, tena wasiwe heavy users.

Kama mko 2 hakisumbui sana..
Mimi nimeifunga home 20mbs na hainipi shida yoyote... Mostly inakuwa imeungwa pcs 2, simu 3 na tv moja. Ninastream full hd youtube bila shida, tv netflix fresh.
Calls za zoom na google meet ndioo mahala pake maana ina ping ndogo sana.
Mafile nadownload fresh tu maana kwa siku lazima nidowload files kama 10 ambapo kila file inakuwa na kaati ya 250-300 mbs na kisha kuta upload baada ya kuyafanyia editings.
Imepunguza matumizi yangu ya fedha za vocha kwa asilimia 80 kwa mwezi.
 
Mimi nimeifunga home 20mbs na hainipi shida yoyote... Mostly inakuwa imeungwa pcs 2, simu 3 na tv moja. Ninastream full hd youtube bila shida, tv netfkix fresh.
Calls za zoom na google meet ndioo mahala pake maana ina ping ndogo sana.
Mafile nadownload fresh tu maana kwa siku lazima nidowload files kama 10 ambapo kila file inakuwa na kaati ya 250-300 mbs na kisha kuta upload baada ya kuyafanyia editings.
Imepunguza matumizi yangu ya fedha za vocha kwa asilimia 80 kwa mwezi.
Nasemea cha 10Mbps, hiko chako cha 20Mbps mbona ni kikubwa sana? Mnaweza tumia hata watu 10 bila shida yoyote..
 
Hizo fiber kwa sisi wa nyumba za kupanga bado haziko feasible kwetu, leo tupo kesho hatupo.

Siku wakianza kuwezesha na line zao ziwe na access na hizo unlimited watatukamata wengi sana..
Wanafunga mkuu maana hulipii devices. Wanakufungia bure hata mkitaka mfunge ya kifurushi kikubwa mshare kwa kuchangia wanafunga.
Hata mimi ninapanga waliniambia niongee na majirani tuungane but sikufanya hvyo nikafunga mwenyewe
 
  • Fibre ipo sehemu chache hasa mjini na maeneo yenye makazi ya kisasa
  • huwezi kutembea nayo ukienda kwenye shughuli zako
  • ukihamia eneo lisilo na fibre uanze kununua mabando
  • umeme ukikatika router inazima
 
Fibre ipo mitaa sehemu chache hasa mjini, huwezi kutembea nayo ukienda kwenye shughuli zako, ukihamia eneo lisilo na fibre uanze kununua mabando, Fibre umeme ukikatika kifaa kinazima
Kwa umeme yes, hapo ni shida ukikata na yenyewe imekata.
Kwa kutembea nayo yes, pia.
Ila mimi nikitoka home najiunga bundle la mbs 500 kwa simu kwa ajili ya kunikeep online whatsapp na emails\. Fiber imenisaidia kupunguza gharama za vocha kwa asilimia 80.
Mimi naipendea hasa ping yake kuwa ndogo maana nafanya sana zoom na google meet calls, halafu internet yake iko stable haipandi na kushuka hovyo.
1733546033631.png
 
Back
Top Bottom