Tetesi: Aisee!! CHADEMA kwa hili mmeiweza CCM,mmeshinda mapema!

Tetesi: Aisee!! CHADEMA kwa hili mmeiweza CCM,mmeshinda mapema!

MAHANJU

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
5,252
Reaction score
8,003
Mwanzo nililalamikia sana uongozi wa juu wa chama kushindwa kuchukua hatua juu ya mkakati wa madiwani kujiuzulu na kuhamia CCM pamoja na viongozi na wanachama kadhaa, Sikujua kumbe huu ulikua mkakati wa kuwatuma watu wenu kuhamia CCM kufanya kazi mliyowatuma. Kwa habari nilizopata mahali wacha nikae niitazame hii move, kumbe kupiga kote kelele mnajua mnachokifanya!!


Sasa viongozi wa CCM wao wameingia kichwa kichwa kugawa pesa bila kujua wanawapa akina nani! hawajui kua wale bado ni wanachama watiifu wa CHADEMA, Sasa wameanza hata kuwataftia ajira serikalini ili wawalishe vizuri. Nalisema hilo leo lakini kabla ya 2019 majibu CCM watayapata.


Hongera Mh Mbowe,hongera Mh Lowasa, hongera team 4U,hongera Dr Mashinji. Mmeshausoma uongozi wa CCM sasa kazi imeanza. Wengine tulijua mmepoteza kumbe mnapanda!!
 
Kwan umesahau akina kingunge na akina sumaye walitumwa?
 
Back
Top Bottom