Tetesi: Aisee!! CHADEMA kwa hili mmeiweza CCM,mmeshinda mapema!

Tetesi: Aisee!! CHADEMA kwa hili mmeiweza CCM,mmeshinda mapema!

TAKUKURU isiishie kukamata viongozi wa vyama vya michezo na vilabu kwa ubadhirifu , sasa naomba waingie kuchunguza hizi tuhuma nzito zinazo tolewa dhidi ya chama changu pendwa cha ccm, haiwezekani tuka pakwa matope kiasi hiki kwamba chama kimeshiriki katika tendo hili ovu na chafu la kuwahonga ( kutoa rushwa ) kwa madiwani wa chadema ili wahamie ccm. Haiwezekani tukavumilia dhidi ya kashfa nzito kama hii na ikibainika kuwa kuna ukweli juu ya hili wahusika wachukuliwe hatua kali sana za kisheria ikiwa ni pamoja chama chetu kuwafukuza uanachama mara moja.
 
Sikujua kumbe huu ulikua mkakati wa kuwatuma watu wenu kuhamia CCM kufanya kazi mliyowatuma. Kwa habari nilizopata mahali wacha nikae niitazame hii move,
Ukiwa na wanachama wa Chadema kama huyu Raha sana.. Eti mkakati, ha ha ha vichekesho vya kufungia mwezi hivi
 
Back
Top Bottom