cheguevara
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,348
- 652
Kalewa huyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikakati mingine ishapitwa na wakati, ni sawa na mtu akupe simu ya tochi, halafu uwambiwe uingie mtandaoni ukasome katibaHakuna mkakati wa kizamani ktk kumuangamiza adui ili mradi anadhulika
In God we trust
Mfano mfuMikakati mingine ishapitwa na wakati, ni sawa na mtu akupe simu ya tochi, halafu uwambiwe uingie mtandaoni ukasome katiba
Endelea kusubiria Meli airport Chama chenye wanachama zaidi ya 8mil kije kiangaike na Chama chemye wanachama hata hawafiki 2mil.Mwanzo nililalamikia sana uongozi wa juu wa chama kushindwa kuchukua hatua juu ya mkakati wa madiwani kujiuzulu na kuhamia CCM pamoja na viongozi na wanachama kadhaa, Sikujua kumbe huu ulikua mkakati wa kuwatuma watu wenu kuhamia CCM kufanya kazi mliyowatuma. Kwa habari nilizopata mahali wacha nikae niitazame hii move, kumbe kupiga kote kelele mnajua mnachokifanya!!
Sasa viongozi wa CCM wao wameingia kichwa kichwa kugawa pesa bila kujua wanawapa akina nani! hawajui kua wale bado ni wanachama watiifu wa CHADEMA, Sasa wameanza hata kuwataftia ajira serikalini ili wawalishe vizuri. Nalisema hilo leo lakini kabla ya 2019 majibu CCM watayapata.
Hongera Mh Mbowe,hongera Mh Lowasa, hongera team 4U,hongera Dr Mashinji. Mmeshausoma uongozi wa CCM sasa kazi imeanza. Wengine tulijua mmepoteza kumbe mnapanda!!
Alianguka Gaddafi,Nduli Idd Amin Dadah na hata Babylon Tower sembuse iwe hyo takataka Ccm,binadam wakiamua jambo liwe jema au baya wakiliwekea mikakati ni lazma jambo hlo litimie.
Binafsi natamani sana kuona Tanzania bila CCMAlianguka Gaddafi,Nduli Idd Amin Dadah na hata Babylon Tower sembuse iwe hyo takataka Ccm,binadam wakiamua jambo liwe jema au baya wakiliwekea mikakati ni lazma jambo hlo litimie.
Unafikir kwa nini Julius Nyerere alisema "Atakayeidondosha ccm atatoka ccm?" Je unafaham kwamba kuna uchaguz Dk Slaa alishinda na hakupewa nchi? Unafaham kwamba kuna uchaguz Lyatonga alishinda na hakupewa nchi? Jiulize uchaguz wa 2015 nani alishinda? It's a matter of time na ccm ikidondoka haitakuja kurudi kamwe kwenye ulimwengu wa siasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wajinga si ndio waliwao??? Wahenga walisema.Kama ni mkakati, mbona ni wa kizamani
Sio wa kizamani mkuu ni mzuri sana huoni kazi ya LipumbaKama ni mkakati, mbona ni wa kizamani
Kwa virungu sawa
Teeeeeeeeh Teeeeeeeeh TeeeeeeeeeehView attachment 553692 hawa hapa wanakula burudani ya bure kutoka kwa Lisu, mpaka wamechanganyikiwa
Ulitegemea aseme kitu gani?Mbowe amesema aliujua kuwa wanahama hata kabla hawajahama,,,,jiulize kwa nini hakusema? Kula ccm kura chadema
Anawachezesha lizombeView attachment 553692 hawa hapa wanakula burudani ya bure kutoka kwa Lisu, mpaka wamechanganyikiwa
.....
...Daaaaa mimi ndio naigonga castle lager phantom
In God we trust