Tetesi: Aisee!! CHADEMA kwa hili mmeiweza CCM,mmeshinda mapema!

Evidence unazungumza na watu wenye uelediiii. Toa ushahidi[emoji86] [emoji86]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajifariji eeeeh
 
Tulikua tunawachora tu mlivyokua mnadeki barabara maana ccm ilishatuma kina lowasa, sumaye na kingunge huko kwenu longtime.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa ccm ukihamia unapigwa benchi kwanza na hili linawashinda wengi kuvumilia.

Halafu mkakati wa kutuma watu kwenye maeneo mnayoshikilia ni ushamba kujitekenya wenyewe
 
Mkuu ktk mafunzo ya kijeshi kinaitwa MM hivyo hayo yote yanawezekana ili mradi kupata ushindi

In God we trust
 
Mkuu unajua sometimes unasikia jambo la kufurahisha kama hili unaweza jikuta unatoboa ya watu. Wacha nijigongee castle baridi na wkend hii nikapumzike zangu.
Daaaaa mimi ndio naigonga castle lager phantom

In God we trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…