Tetesi: Aisee!! CHADEMA kwa hili mmeiweza CCM,mmeshinda mapema!

Hahahaaaaaaa!! CHADEMA hawana uwezo wa kuicheza ngoma ya CCM aisee, sio cxm ninayo ijua mie iingie kichwa kichwa katika mtego wa kitoto kama huo nadhani wabuni njia nyingine hii haita wasaidia hata kidogo ,MNYETI na GAMBO sio wajinga wa kiasi udhaniacho.
 
ndio maana sisi kina gogo la shamba kila siku tunawaandikieni kula ccm kura chadema,huo ndio mkakati wa kaskazini
 
2015wengi walihamia vyama vya upinzani kwenda kuvyruga, kwa bahati mbaya walipigwa chini, na baadae wakawa wanarudi, eti walikosea
 
Akili za watu wa chadema zinanipa mashaka sana.Huyu mtoa uzi ni kama amekunywa kangara,ni juzi tu Mbowe ametoa tamko la kulaani madiwani kujiuzulu,Tanapa anakurupuka anasema ni mpango wa chadema kuwatumia kwa kazi maalum!
 
Kuna watu mnatia kinyaa humu, sasa kama ni mkakati kwa hiyo akae kimya? We vipi bhana? Kama huelewi maana ya mikakati kaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…