Aisee!! Kanishinda tabia

Eminem jr

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2018
Posts
2,003
Reaction score
4,584
Kuna huyu mdada nimempata siku ukiamua kumtoa out hata nauli ya kufika eneo la tukio hana!!!Ila utashangaa akifika hapo unamwambia agizakinywaji,utasikia nakunywa Savana!!!Henken Windwork!!!Desperado

Sasa unajiuliza mtu ambaye hata nauli tu hana hayo mavinywaji ya gharama huwa anakunywa wapi ukimwambia agiza chakula duuu hapo ni balaaa!!!!Nataka kuku mzima na chipsi mayai

Mara mshikaki ya hapa siyo mizuri Utadhani hivyo ndo vyakula vyake vya kila siku!!!!Wakati mtu mwenyewe kwake kila siku anakula visivyoeleweka na akibeua sasa Hiyo harufu yake unaweza ukadhani anatenda ya kuhifadhi mayai viza tumboni !!!akitaka kuondoka anaomba hela ya nauli!!!Unampa bado atakupiga mzinga ooh
naomba Hela kwa ajili ya UPATU !!!
 
Siku ya kwanza bora uwe muwazi ule unywe ufurahie na umrudishe ulipomtia sasa ulizani kuita umeita wewe halafu usigharamie
 

duh umegusa mule mule.....halafu nauli yenyewe utakuta buku ya bodaboda.....ila vipi ana chura? mambo anayaweza? ili upunguze maumivu ya virungu inabida umtumie vilivyo!...mi hapa niko hoi nimeshapigwa kirungu cha laki moja ya sare za harusi na nywele sijui..nafikiria nipige kimya manake hata ya vocha sina leo
 
Jitu kama hilo ukiga mara moja unamtema fasta....

Huyo kujiuza ni buku 10 tu kwa hali hiyo...
 
No offense meant but traditionally (Yani kwa utamaduni huu huu tulioiga wa kutoana out), a gentleman would normally show up at the lady's house with transportation means. Yani inatakiwa asigharamike kukutana na wewe. Hiyo inaensure heshima na kuwa valued if at all the relationship is going to last. Hii ya tukutane sehemu fulani ni uhuni tu, so ukifanyiwa uhuni usilalamike since its where you stand.
Tamaduni zetu tulikutana njia ya kwenda kisimani normally, since ndo mara nyingi shughuli ambayo binti utampata peke yake. In many African traditions it was forbidden kuongeaongea hovyo na mabinti za watu. Kaka zake wakikukuta wanaeza hata kukuua. Unawaharibia dada yao.
So hata kwa mila zetu hii 'tukutane sehemu fulani' ni uhuni. Tena binti mwenyewe ajigharamie kuja kushushiwa heshima? Comeon man, give them a break. Binti wa kujigharamia ukiingia naye kwene ndoa atakusumbua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…