Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Mi pia nashagaa jamiii gani hiyo inayoongelewa? Mbona sie hatujachukia kabisa....ingekua hatukutegemea hayo kutokea kweli...[emoji3]
 
Private candidate ni mwanafunzi kama mwanafunzi mwingine.!
Katika shule huwa wanaingia darasan kama wengine na wanavaa uniform kama wengine.

Kitendo kibaya sana, bora haki ifuate mkondo.
Ujinga huu umeandika hata Amazon College ni wanafunzi na wanaingia darasani unakuwa na Thinking ya hovyo kama umekatwa kichwa.
 
Ujinga huu umeandika hata Amazon College ni wanafunzi na wanaingia darasani unakuwa na Thinking ya hovyo kama umekatwa kichwa.
Tatizo ubongo wako mdogo,
Shule nyingi utakuta School cand na private wanasoma shule moja na darasa 1.
Unahisi School cand wanapoona mwenzao yupo mitandaon kwa mambo ya kipumbav wataenenda vipi akiwemo mwanao.

Jambo la pili fikiria mzazi ametaka arudie mitihani ya sec ila jitu linampotosha na kibaya zaidi umri wake ni mdogo sana.
 
KUNA MSEMO DAR WATU WANASEMA KUWA WAMAKONDE SIO WATU NA NI MALIMBUKENI WAKUBWA.
HUYO KIMZIKI KESHAPOTEZA DIRA ANABAKI KUFUATILIA MAMBO YASIYO NA TIJA KWENYE CARRIER YAKE
Mlisema Kiba kapotea, Kiba ivi

Kiba mpaka leo anadunda.
 
Mtoto mwenyewe alivyokaa kuliwaliwa mbna chinga naye yatamshinda atakula kuku plus mayai
 
Kama ndio hivyo kesi zingekuwa nyingi,maanake hata Konde jana kampost Rayvany instagram.
Kwamba na Konde afunguliwe kesi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…