Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Unasikia mkuu, ipo hivi.

Kwa nini paula tunasem ni mwanafunzi,
Moja umri wake bado mdogo, pili yupo chini ya mzazi/wazazi.

Tunasema ni mtoto ambaye amerubuniwa na kuharibiwa future yake.
Bora angekua amemaliza au private candidate wa kidato cha 6. Huyu paula alikua bado in between secondar School it means bado mtoto sana huyo, na kuna uwezekano yeye Rayvany ndo kamfelisha mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
 
Na kama sifaham vizur sheria mnisahihishe ni kama katiba inasema mwanamke anaeanzia 15yrs yupo fresh kwa kuolewa
sitetei, ni mtizamo tu I'll naona mada zinageuka kwa Kasi kutoka kwenye kumlaumu rayvany Hadi kwenye kumwombea mabaya
 
Ngojea tuwasikilizie naona nao BASATA wapo kimya labda wameona kawaida tu.
 
Hapana mkuu...nchi yetu inasema ukishatimiza miaka 18 ww ni mtu mzm,lakin pia uanafunzi sio miaka wala sio Kua chini ya mzazi,,,lakin kua in-between haimpi status ya uanafunzi...

Kwasababu hapo alipo ana option 3,kwenda kufanya kazi,kwenda college,au aende advance....akienda advance tu hapo ndio atapata status yakua mwanafunzi...

Lakin kufeli kwake 4m4 kuna ushahidi gan rayvan ndio kamfelisha? Paula kaanza kuchezea pipe kitambo tu..imagine mtoto anashindana kutikisa tako na mama yake(twerking) ,mtoto yupo busy na social network badala yakusoma,mtoto anatikisa tako badala yakwenda tuition,mtoto anapelekewa mpaka wapiga picha kwaajil ya photo shooting badala yakupelekewa vitabu vya shule,sasa haya yote karuhusu mama yake au rayvan?

Kajala ndio aliemfelisha mwanae nasio ray-vany....yani mkuu usimtetee huyu mtoto sio mtoto tena ni mwanakijiji mwenzetu...
 
Wabongo wengi ni bogus kabisa, up stairs empty.

Tumeona interview za P Funk alishamuonya huyu kahaba aliyezaa naye kitambo tu lakini masikioni kaweka pamba.

Kuna mpumbavu mwingine anaitwa Muna Love sijui, kale katoto very innocent alivyokuwa anakaexpose mitandaoni kangekuwa ka kike na Mungu akampa maisha zaidi si kinapigwa dudu mapema tu?

Sijui kwa nini wanawake wenye mitako mikubwa hunyimwa akili? Bado sielewi.
 
Ngojea tuwasikilizie naona nao BASATA wapo kimya labda wameona kawaida tu.
Usema kweli, ile video haina ngono hata kidogo, ni video inayo onesha tu mahaba ( upenzi ). Kilichopo hapo ni fitina za Njomba Nchomali, alikuwa anapanga mambo yake juu ya Paula. Hii hata kama itaenda mahakamani ni kwa force ya Njomba nchomali, naamini mama yake alikuwa anajua uhusiano wa binti yake na Rayvanny. Hata kama Rayvanny atakutwa na hatia sio kosa kubwa hukumu au adhabu na huenda ikawa fine zile za milion tano au laki kadhaa
 
Yani mkuu we acha tu. Alafu ukiwaambia wanakwambia usitupangie kulea..yakiwakuta wanarudi kuomba misaada...Sasa kama huyu Kajala leo hii anashangaa impact ya malezi yake [emoji3]
 
Sheria ni hivii, mwanafunzi akihitimu masomo ya o-level huwa anahesabiwa miaka 3 mbele
 
Sheria ni hivii, mwanafunzi akihitimu masomo ya o-level huwa anahesabiwa miaka 3 mbele
Kama umepass na wala sio sheria, haiko kwenye sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai, ni kijiutaratibu tu..uko na matokeo ya Paula ya Form 4?
 
Ok sawa nimekuelewa.!

Kwa hoja zako inawezekana jamaa asiwe na kesi ya kujibia au kisheria yupo free.
Lakini twende mbele kitamaduni na maadili, haipendezi kwa rayvan kwa umri wake kutembea na msichana mdogo vile, lkn pia kitendo cha kurusha hizo clip haijakaa vema hata kama mama amemkosea katika malezi.
Msanii si ndo kioo cha jamii!??

Nimeona Kajala akimlaumu mobeto kwa kitendo cha kumchukua mwanae kwa kumdanganya anamtoa out kumbe anaenda kumkutanisha na huyo jamaa. Naamin mzazi lazima aumie ni udhalilishaji ni bora ikawa soro lkn sio ku publize.!

Maandiko yanasema, usichopenda kufanyiwa usikifany kwa mwenzako.

Huyo msanii kafanya hivyo, asishangae na mwanae anakuja kufanyiwa vitendo the same.!
 
Paulo sio mdogo mtu mwenye miaka 20 utemaje Ni mdogo ana account kabisa za social network anapost nusu uchi na picha za mitego.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…