Trinity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2017
- 1,828
- 3,508
Unasikia mkuu, ipo hivi.Private candidate sio mwanafunz kama wanafunz wengne...huyo ni 4m4 failure ameamua kureseat....hawez Kua sawa na fresh students
Shule gani anaenreseat anavaa mpaka uniform za shule? [emoji3] Ukiona hivyo labda ni private na inafanywa kama deal hapo..
Wanaovaa nguo za shule wao huanza form 2 tena kwa kutumia majina ya wanafunz wengne...mtu unauziwa jina anarud zake form 2 unaendelea kusoma mpaka form4 unapiga pepa.
Paula sio mwanafunz..ni mwanakijiji tu ambae ame clear chet chake sasa anawaza aende kuomba kazi,au college au akachukue uanafunziwa A level kitu paula kwa bata zake hawez kubal kwend vaa uniform saiz..
Kwa nini paula tunasem ni mwanafunzi,
Moja umri wake bado mdogo, pili yupo chini ya mzazi/wazazi.
Tunasema ni mtoto ambaye amerubuniwa na kuharibiwa future yake.
Bora angekua amemaliza au private candidate wa kidato cha 6. Huyu paula alikua bado in between secondar School it means bado mtoto sana huyo, na kuna uwezekano yeye Rayvany ndo kamfelisha mtihani wa taifa wa kidato cha nne.