Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Ni tofauti mkuu....alichopost harmonize ni sreenshot kutoka kwenye simu yake...kosa la rayvanny ni kumpiga kajala picha tena ya video na kuipost unless kajala amtetee kua alikubali kupigwa picha vinginevyo sheria itakuchukua mkondo wake
Sasa mkuu kwenye screenshot sindio kuna picha yenyew? Kwani sheria imesema picha iweje ili ikubalike kama picha?
 
Ni tofauti mkuu....alichopost harmonize ni sreenshot kutoka kwenye simu yake...kosa la rayvanny ni kumpiga kajala picha tena ya video na kuipost unless kajala amtetee kua alikubali kupigwa picha vinginevyo sheria itakuchukua mkondo wake
Edit maelezo yako sio Kajala ni mtoto wake ndio alihusika hapo.
 
Ni tofauti mkuu....alichopost harmonize ni sreenshot kutoka kwenye simu yake...kosa la rayvanny ni kumpiga kajala picha tena ya video na kuipost unless kaja

Kascreenshot kwa simu yake mwenyewe harmonize?

Hivi dada yangu ushawahai kusimama pale kwenye kile kichumba kidogo aka kizimbani,pazito pale hayo unayo ya sema Paula kwamba atamuokoa mama yake,usishangae akamchoma mama yake na akaonekana mama mwenyewe hajui kulea na toto lenyewe halifai.

Sababu kwa kesi kama hii Rayvany nae atasimamisha mawakaili wa hadhi ya juu usizani kama atakuja kinyonge,so unaweza ukakuta kesi ikamgeukia,baadae Rayvanny akaomba fidia kubwa kwa kuchafuliwa jina lake, yote yana wezekana kwenye sheria,kwani watu wanachomoka kwenye kesi ngumu za mauaji na hujumu uchumi sembuse kesi hii.
 
Unasahau sheria ya mtandao pia inahusika, kamuulize Wema na yule waliokuwa wanamla D two
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…