Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

Tamko la muhusika (Paula) hili hapa.
FB_IMG_16134775140305334.jpg
 
Ok sawa nimekuelewa.!

Kwa hoja zako inawezekana jamaa asiwe na kesi ya kujibia au kisheria yupo free.
Lakini twende mbele kitamaduni na maadili, haipendezi kwa rayvan kwa umri wake kutembea na msichana mdogo vile, lkn pia kitendo cha kurusha hizo clip haijakaa vema hata kama mama amemkosea katika malezi.
Msanii si ndo kioo cha jamii!??

Nimeona Kajala akimlaumu mobeto kwa kitendo cha kumchukua mwanae kwa kumdanganya anamtoa out kumbe anaenda kumkutanisha na huyo jamaa. Naamin mzazi lazima aumie ni udhalilishaji ni bora ikawa soro lkn sio ku publize.!

Maandiko yanasema, usichopenda kufanyiwa usikifany kwa mwenzako.

Huyo msanii kafanya hivyo, asishangae na mwanae anakuja kufanyiwa vitendo the same.!
Yes mkuu , hatusemi ray hajakosea..kakosea sana..tena sana,,kwa desturi zetu sio sawa kbisaa...

Hapa tulikua tunamkumbusha kajala tu yale tulomwambia mapema...bado muda anao mzuri wa kurekebisha alipokosea kama mzazi....
 
Paula atafute hifadhi kama alivyotafita Lema.

Pole sana mwanetu. Watu wanakubeza lakini kuna wasichana wengi wanapitia haya na wanaume wahusika wakijisifia kula kimasihara.

Wanaume wema pazeni sauti kukemea Rayvanny na wenye tabia kama yake.

Ndio wanaoua ndoto ya binti zenu au kula bikra za wake zenu watarajiwa.
 
Miaka 30 kwa sheria za nchi gani? kwani kambaka? hoja ya mwanafunzi haina mashiko, Paula hayupo kwenye mfumo rasmi wa elimu tangu 2019, private candidate aweza hata kuwa mama mwenye 50, unaeza mshitaki bwana wa private candidate mwenye 50 kwa kutembea na mwanafunzi?
Toka 2018 na alifeli frm 4,sio mwanafunzi huyo ni raia
 
Unasikia mkuu, ipo hivi.

Kwa nini paula tunasem ni mwanafunzi,
Moja umri wake bado mdogo, pili yupo chini ya mzazi/wazazi.

Tunasema ni mtoto ambaye amerubuniwa na kuharibiwa future yake.
Bora angekua amemaliza au private candidate wa kidato cha 6. Huyu paula alikua bado in between secondar School it means bado mtoto sana huyo, na kuna uwezekano yeye Rayvany ndo kamfelisha mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
Naona sasa HISIA Over SHERIA jichanganye tu na point zako za kihisia eti tunaposema mwanafunzi blablaa utakuja kufungwa hutaamini.
 
🤣🤣🤣 amepelekewa moto weeee hadi vanny akawa anachukua na kuweka waaaaaaaahh😅😅😅
😀😀😀😀😀.. Njomba nchumali hapo kinamuuma sana, kila angle anapigwa gape na mwamba yani, alichemka kwa Paula, akahamia kwa mama, ili ampasie Ibrah, ngoma imekataa 😀😀😀.. anaishi kuhaha kama anakaribia kujifungua yaani 😀😀😀
 
Ok sawa nimekuelewa.!

Kwa hoja zako inawezekana jamaa asiwe na kesi ya kujibia au kisheria yupo free.
Lakini twende mbele kitamaduni na maadili, haipendezi kwa rayvan kwa umri wake kutembea na msichana mdogo vile, lkn pia kitendo cha kurusha hizo clip haijakaa vema hata kama mama amemkosea katika malezi.
Msanii si ndo kioo cha jamii!??

Nimeona Kajala akimlaumu mobeto kwa kitendo cha kumchukua mwanae kwa kumdanganya anamtoa out kumbe anaenda kumkutanisha na huyo jamaa. Naamin mzazi lazima aumie ni udhalilishaji ni bora ikawa soro lkn sio ku publize.!

Maandiko yanasema, usichopenda kufanyiwa usikifany kwa mwenzako.

Huyo msanii kafanya hivyo, asishangae na mwanae anakuja kufanyiwa vitendo the same.!
Kumbe ujinga ulikuisha aisee wakuleta Hisia zako mbele ya Sheria.

Pia hata utamaduni nk hakuna Vanny alippkosea ni unaharibu utamadani gani na hekima kuwa na mahusiano na 20 years age.
 
Back
Top Bottom