Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂😂 Watu wadogo ndio wanaangushaga hinataNjomba nchumali ni mkuda kishenzi.
Njomba nchumali, alitaka kuitumia kama kiki. Alikuwa hayupo kama mzazi pale. Ndio maana kimfunga sana kajala mota 😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂 Watu wadogo ndio wanaangushaga hinata
Yes mkuu , hatusemi ray hajakosea..kakosea sana..tena sana,,kwa desturi zetu sio sawa kbisaa...Ok sawa nimekuelewa.!
Kwa hoja zako inawezekana jamaa asiwe na kesi ya kujibia au kisheria yupo free.
Lakini twende mbele kitamaduni na maadili, haipendezi kwa rayvan kwa umri wake kutembea na msichana mdogo vile, lkn pia kitendo cha kurusha hizo clip haijakaa vema hata kama mama amemkosea katika malezi.
Msanii si ndo kioo cha jamii!??
Nimeona Kajala akimlaumu mobeto kwa kitendo cha kumchukua mwanae kwa kumdanganya anamtoa out kumbe anaenda kumkutanisha na huyo jamaa. Naamin mzazi lazima aumie ni udhalilishaji ni bora ikawa soro lkn sio ku publize.!
Maandiko yanasema, usichopenda kufanyiwa usikifany kwa mwenzako.
Huyo msanii kafanya hivyo, asishangae na mwanae anakuja kufanyiwa vitendo the same.!
nyau wamemfuga wenyewe kawa mkubwa kageuka CHUIMwamba mnafiki kichizi
Na njomba nchumari ndio remote control wa familiaNjomba nchumali, alitaka kuitumia kama kiki. Alikuwa hayupo kama mzazi pale. Ndio maana kimfunga sana kajala mota 😀😀😀
Njomba nchumari ataisumbua sana WCB cz anamjua bosi A-Znyau wamemfuga wenyewe kawa mkubwa kageuka CHUI
Toka 2018 na alifeli frm 4,sio mwanafunzi huyo ni raiaMiaka 30 kwa sheria za nchi gani? kwani kambaka? hoja ya mwanafunzi haina mashiko, Paula hayupo kwenye mfumo rasmi wa elimu tangu 2019, private candidate aweza hata kuwa mama mwenye 50, unaeza mshitaki bwana wa private candidate mwenye 50 kwa kutembea na mwanafunzi?
Tulia hivyo hivyo team van boyElimu haijanisaidia kupata hela ila imenitoa upumbavu wa kukurupuka na kuendeshwa na hisia bila facts. Harmonise anakurupuka kesi ipo TCRA ila si hicho anachokifikiri
Kumbe wamakonde mandezi kiasi l
🤣🤣🤣 msinihukumu mimi sina makosa😆😆😆 na yeye anatumia utot ambao amevishwa na watu ili asamehewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwambieni kaliwa bc kaliwa.Tamko la muhusika (Paula) hili hapa. View attachment 1704128
Kuwa na adabu!!P katulia anakula zake ganja
Kmmmk zake, asihamishe magori.. huyo hawezi kuwa Paula, huyo ni Njomba nchumari na roho yake mbaya kama kitukuu cha shetani🤣🤣🤣 msinihukumu mimi sina makosa😆😆😆 na yeye anatumia utot ambao amevishwa na watu ili asamehewe🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mwambieni kaliwa bc kaliwa.
Naona sasa HISIA Over SHERIA jichanganye tu na point zako za kihisia eti tunaposema mwanafunzi blablaa utakuja kufungwa hutaamini.Unasikia mkuu, ipo hivi.
Kwa nini paula tunasem ni mwanafunzi,
Moja umri wake bado mdogo, pili yupo chini ya mzazi/wazazi.
Tunasema ni mtoto ambaye amerubuniwa na kuharibiwa future yake.
Bora angekua amemaliza au private candidate wa kidato cha 6. Huyu paula alikua bado in between secondar School it means bado mtoto sana huyo, na kuna uwezekano yeye Rayvany ndo kamfelisha mtihani wa taifa wa kidato cha nne.
🤣🤣🤣 amepelekewa moto weeee hadi vanny akawa anachukua na kuweka waaaaaaaahh😅😅😅Kmmmk zake, asihamishe magori.. huyo hawezi kuwa Paula, huyo ni Njomba nchumari na roho yake mbaya kama kitukuu cha shetani
😀😀😀😀😀.. Njomba nchumali hapo kinamuuma sana, kila angle anapigwa gape na mwamba yani, alichemka kwa Paula, akahamia kwa mama, ili ampasie Ibrah, ngoma imekataa 😀😀😀.. anaishi kuhaha kama anakaribia kujifungua yaani 😀😀😀🤣🤣🤣 amepelekewa moto weeee hadi vanny akawa anachukua na kuweka waaaaaaaahh😅😅😅
Kumbe ujinga ulikuisha aisee wakuleta Hisia zako mbele ya Sheria.Ok sawa nimekuelewa.!
Kwa hoja zako inawezekana jamaa asiwe na kesi ya kujibia au kisheria yupo free.
Lakini twende mbele kitamaduni na maadili, haipendezi kwa rayvan kwa umri wake kutembea na msichana mdogo vile, lkn pia kitendo cha kurusha hizo clip haijakaa vema hata kama mama amemkosea katika malezi.
Msanii si ndo kioo cha jamii!??
Nimeona Kajala akimlaumu mobeto kwa kitendo cha kumchukua mwanae kwa kumdanganya anamtoa out kumbe anaenda kumkutanisha na huyo jamaa. Naamin mzazi lazima aumie ni udhalilishaji ni bora ikawa soro lkn sio ku publize.!
Maandiko yanasema, usichopenda kufanyiwa usikifany kwa mwenzako.
Huyo msanii kafanya hivyo, asishangae na mwanae anakuja kufanyiwa vitendo the same.!