Aisee kumiliki gari kumbe gharama hivi? Nimetumia 505,000/= kufanya service!!

Kama hizi ndo bei basi waga napigwa kila siku, ila apo kwenye engine oil utakuwa umekosea sana mzee, maana oil kama synthetic kwenye duka lao kabisa wanauza 68k na oil seal waga nauziw 30 ata ukijarb kuondoka
 
Hio seal inategemea na engine maana mie nilinunulia ya engine yangu mkoani ilikuwa 25K tena kwa muhindi.

Synthetic ni sawa ila kwa undezi wa huyu jamaa watakuwa wamemgonga mineral oil ya 35K
 
Hio seal inategemea na engine maana mie nilinunulia ya engine yangu mkoani ilikuwa 25K tena kwa muhindi.

Synthetic ni sawa ila kwa undezi wa huyu jamaa watakuwa wamemgonga mineral oil ya 35K
Itakuwa wamempatia kitu cha SSE 40 siyo..[emoji38][emoji119][emoji119][emoji38]
 
Iyo baby walker kama ni Toyota ..iyo pesa ni nyingi..sana kwenye service.. Iyo gari ulikuwaaa unaenda kuiwaaaa kabisa...duu wewe ulifanya gari kama baiskeli..ni vizuri ukishatembeaa km 3000 au 5000. Gari inatakiwaa iingiee service fasta..wewe ulikuwa hufanyi ivo.. Ndio maana umeuaa gari..vifaa vingi vmehalibika...raiti ungekuwa unafanya service on time..usiingee ingiaa iyo gharama kubwa..

Endeleaa kutumiaa hizo hizo baby walker usijeee gusu gari ya mjerumani (BMW, Audi, benz
Code:
...utaliaaa ukifanya kama unavoifanyia baby walker yako
 
SAE 40 kwa udhamini wa CALTEX mnyamaa[emoji23][emoji23][emoji23]
....kuna nyingine unakuta wamejaza kwenye madumu ya lita 20 au zaidi..mtu anapimiwa oil ambayo haijulikani brand wala vigezo..

Kuna watu majasiri...[emoji38][emoji38][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji38][emoji38]
Mtu anamiliki gari la zaidi ya M 8 anaweka oil ya kupima..
 
uchumi wa kati
 
Wamekupiga Balaa..Kosa la Kwanza walishajua wewe hujui haya mambo...Wakishajua hilo wanakupiga Kweli kweli.

Katika hali ya Kawaida Gari Ndogo Hiyo Ingetumia laki 1 na hamsini basi.

Ila Ndio hivyo wameshakupiga.
 
Mlolongo nakumbuka ulinifata inbox ukihitaji gari nakumbuka nilikutumia picha zake ukasema gari Yangu ni Carina ti ni ya kizamani,sasa sijui umepigwa gari tena ambayo umeanza kutumia pesa kiasi hicho...
Mkuu hiyo gari yako umenunua ya Aina gani?
Huyo chalii ndiye anayetumia id ya Mama Debora kama ulikua hujui mzee baba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…