Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Kwa upande wangu mwanaume akiwa na gari anitongoze na mzarau hatar, na jeuri na mwonyeshea, hata gar liwe vipi simwambii ndinga Kali. Najua wanajua uzaifu wetu hupo kwenye magar.
 
Nakupinga mzee. Wengi ni roho mbaya tu. Believe me! Mtoto wa primary darasa la tatu umpakize abadilike kuwa jini? Waafrika Waafrika
Kuna mtu kapewa lift kasepa na begi la PC!
Lift hua tunatoa kwa watu ambao tunawajua kiundani, inaweza kukuletea shida.
 
Kwa upande wangu mwanaume akiwa na gari anitongoze na mzarau hatar, na jeuri na mwonyeshea, hata gar liwe vipi simwambii ndinga Kali. Najua wanajua uzaifu wetu hupo kwenye magar.
Sijaonaga mwanamke akachomoa kwa mshikaji mwenye gari kali. Sijaonaga.
Pale kitaa napokaa watoto wa kike karibu wote wanashoboka na kibebiwoka changu. Je ningelikua na ndinga kali!!

Bahati yao sasa hivi nimetulia nataka kuoa. Ningewabandua kweli kweli
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]bro yule majeruhi anatako balaa, wabongo walikuwa wanamgeuza akiwa chini wanameza mate, alisikika kijana akisema dada anakufa na shepu lake matata
Habari.
Ulifanikiwa kumgonga (kumtia)?
 
Back
Top Bottom