Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Moja ya vitu ambavyo naogopa kufanya ni hicho.. Labda kama hilo gari halitopakia wazazi wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Yana Kupakia wazazi kwenye gari ninalogegedea bado utakuwa mtihani.. Pengine itokee ninayo mawili labda moja ndo liwe la kupigia matukio

*Bado sijafanikiwa kumiliki gari lakini*
Hata uwe na gari kumi nakushauri usigeuze gari danguro
 
Hata uwe na gari kumi nakushauri usigeuze gari danguro
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Nilivyomtukutu sijui kama nitaweza Mungu anisaidie kwakweli.. lakini na utukutu wangu sio kwa gari watakalo tumia wazazi wangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].. Nilivyomtukutu sijui kama nitaweza Mungu anisaidie kwakweli.. lakini na utukutu wangu sio kwa gari watakalo tumia wazazi wangu.
Kwanini unaongelea wazazi na sio familia yako?
 
Unawachaji bei gani mzee baba!?

Depends na eneo kaka ila range ni 2k to 3k kwa mtu hili kwa eneo la station kwenda mbagala au temeke au kutoka pale ubungo external kuja temeke.Bei nzuri ipo njia ya Mbezi Mwisho.

Maeneo ya kawe na tegeta bunju kule ukiwa pale puma ukasema 3k kwa mtu unajaza faster wale jamaa mateja unawapa buku au Mia tano pia unachagua watu wa kupakia si unajua tena sio mtu anapanda na ndoo za samaki
 
Hii biashara ya kupewa mafuta na wafanyakazi wenzio utakuwa utumwa.
Mtu alikupa mia yake naye anajifanya mmiliki mwenzio

Hizi ni nzuri kwenye survival na wasiwe watu mnaofahamiana No strings attached na usiweke mapenzi labda kama unachapa na kutembea! Hii ni survival technique kama unafanya marejesho ya mikopo au ndio unajijenga kuishi mjini.

Sisi kwamba unaweza kupata hela za kutajirika
 
Aisee mimi sitoagi lift hata nikukute miguu yako imechomoka nakupita tu kama mwendokasi zinavtopita Kwenye baadhi ya vituo bila kusimama
 
Moja ya vitu ambavyo naogopa kufanya ni hicho.. Labda kama hilo gari halitopakia wazazi wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....

Kununua gari si kazi ! Nakumbuka nikiwa nipo chuo nikaenda kwenye seminar flani hivi nikakutana na jamaa (mkufunzi) kaja na discover jamaa alikuwa kapoa sana nilipoona macho ya watu yamepungua nikamfuata na kumuuliza aliwezaje kununua gari?

Kitu kikubwa alichoniambia gari unaweza kununua hata kesho issue ni kuliendesha,kumiliki,kulihudumia na kulitunza gari ambavyo katika hivi vyote unahitaji hela ziada ya ile ulionunulia gari hivyo hakikisha una vyanzo vya mapato vya kutosha wakati ukifika utanunua tu gari tena unalotaka mwenyewe.
 
Aisee mimi sitoagi lift hata nikukute miguu yako imechomoka nakupita tu kama mwendokasi zinavtopita Kwenye baadhi ya vituo bila kusimama

Binafsi huwa natoa lift kwa majirani na watu ninaowafahamu nikiwakuta town au sehemu nyingine ninayoweza kuwachukua nashukuru kuwa wananielewa kuwa sio mtu wa story nyingi so wengi wakipanda ni salamu na maneno machache
 
Depends na eneo kaka ila range ni 2k to 3k kwa mtu hili kwa eneo la station kwenda mbagala au temeke au kutoka pale ubungo external kuja temeke.Bei nzuri ipo njia ya mbezi mwisho,maeneo ya kawe na tegeta bunju kule ukiwa pale puma ukasema 3k kwa mtu unajaza faster wale jamaa mateja unawapa buku au Mia tano pia unachagua watu wa kupakia si unajua tena sio mtu anapanda na ndoo za samaki
Hapo shwari sema distance ikiwa mbali sana ni kero na wala husave chochote.
 
Binafsi huwa natoa lift kwa majirani na watu ninaowafahamu nikiwakuta town au sehemu nyingine ninayoweza kuwachukua nashukuru kuwa wananielewa kuwa sio mtu wa story nyingi so wengi wakipanda ni salamu na maneno machache
Ni kweli aise, mtu aliyepewa lift akianza kuongeaongea gari inakunywa sana mafuta,wakaage tu kimya
 
gari gan izo mkuu na ako katabia sijakaelewa kwambaa!😅
Kwamba nifanye mbwembwe kwenye gari la mtu🤣🤣🤣!!! Amnaga hio, natulia kama namuendesha Raisi!

Sema magari yenye alarm ndio ya kisenge. Kuna jamaa alishaaibika zile gari zenye beeps. Kila ikisogea metre kadhaa ina beep mwisho inajizima engine 😂😂😂!

Hakupewa maelekezo ya Alarm ngoma ikajamba kwenye foleni hahahah. Alitamani ardhi ipasuke ikabidi ampigie mwenye gari aje amtolee gari jamaa aliaibika sana demu akamtosea mazima.
 
gari gan izo mkuu na ako katabia sijakaelewa kwambaa!😅
Kuna gari zilikuwaga na security alarm zinalia "beep" ukishaanza kutembea nalo linalia tena "beep" kuna ka switch unakabonyeza chini ya uskani linaacha ukiendelea likagonga mara kadhaa linazima na kulock engine inakuwa haipokei. Au za sikuhizi unabonya remote yake linatulia.

Hako katabia kapo sana japo mie si practice kabisa ila nimeongea ku reflect jamii yetu vijana wa mjini. Kunao wale wananing'iniza funguo viunoni pia ila hawana magari.
 
Mapenzi kwenye gari yako ni mikosi mitupu, I strongly hate this! Hata mume wangu haruhusiwi , sembuse mtu baki.Japo watu wanasema huko japan aliyekuwa analimiliki umejuaje alikuwa habutui k kwenye gari? But it doesn't make sense as long as limeshatua mikononi mwako
Nina Workmate Wangu Huyo, Jamani! Jamani! na ana Familia Kabisa, Atakae Kuja Kuuziwa Ile Gari Namuhurumia Kwa Kweli
 
Back
Top Bottom