Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]bro yule majeruhi anatako balaa, wabongo walikuwa wanamgeuza akiwa chini wanameza mate, alisikika kijana akisema dada anakufa na shepu lake matata
Hahahah namie nilijua huo ndio msukumo wake. Sio hivi hivi dude kama Poshy queen lianguke lazma ukajizolee pwenti za mezani😂😂😂

Asingekuwa na tako mngemsusa huyo dah
 
Hahahah namie nilijua huo ndio msukumo wake. Sio hivi hivi dude kama Poshy queen lianguke lazma ukajizolee pwenti za mezani[emoji23][emoji23][emoji23]

Asingekuwa na tako mngemsusa huyo dah
Hapana mkuu, mimi nimeumbiwa huruma siwezi kumwacha hata mmsai mwenye shida lazima nifanye ninachoweza
 
Mkuu amezidiwa sana na wanaonizunguka.
Kwa kifupi nina ulimi wa kimalaya mkuu, ninahitaji msaada[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Msaada gani zaidi ya yote nipatie namba yake mi ntajitambulisha kama mdogo wako 🤣🤣🤣 kisha natambaa na chaki
 
Msaada gani zaidi ya yote nipatie namba yake mi ntajitambulisha kama mdogo wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kisha natambaa na chaki
Bahati mbaya ameondoka tabata leo[emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu nitakupa kiroho safi kabisa huenda ni bahati yake
 
Ila mkuu chonde chonde na wanafunzi wa kike nakusihi sana , wengi wao Wana makusudi ya kukusudia na ikitokea amebahatika mimba kukupeleka jela ni fasta.

Mimi sinaga roho mbaya kama wewe
 
Back
Top Bottom