Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Tahadhari:sio kila unaempa lifti ni mtu mzuri,na usifikiri kuwa wengine hawatoi lifti kwakuwa tu wana roho mbaya,ni kwa sababu za kiusalama.Umeshawahi kutafakari kuwa umemuona ni mwanafunzi au ni binti mzuri una mpa lift halafu ghafla akiwa ndani anageuka kuwa jini?huo ni mfano tu iko mingi wengine wanaweza kuongezea...

Hivi vitoto vya shule pia awe navyo makini hasa vya kike,avichelewi kupewa mimba vikakulushia ww,au ikatokea umempa lifti mtu alafu akazima kwenye gari,wallah nakwambia hadi upelelezi ukamilike ni miaka sita upo lumande.
 
Mbona kashasema zamaniii[emoji1787][emoji1787][emoji28] cheki nxt comment down

Dudu la yuyuuuu limeshafagia[emoji28][emoji28]
Na nina hakika huyo manzi alikuwa na sifa anazozipendaga...Mzigo wa haja na mahagaz😂😂😂😝 vinginevyo angempita kama kishada
 
To be honest sijashawishika kivile, nilimwambia ninetimiza wajibu wangu tu.
Japo kesi haijaisha, leo ametoka safari ananiuliza tutaonanaje.
Naona kamtihani kananijia na sijui mwisho wake.
Mswati unafeli mzee mwenzangu😂😂😂 acha kuaibisha jina la chief.
 
Na kupaki unaona soo

Maswali ya " gari yako leo umeacha wapi" hayakauki midomoni mwa watu, kuanzia kitaa hadi job

Inabidi ujitoe ufahamu asee
Wakati wa korona kidogo niisome namba, siingizi chochote, gari inakula wese tu, daladala nako nilikuwa naogopa...ahaaa haikuwa poa labisa
 
Nakupinga mzee. Wengi ni roho mbaya tu. Believe me!
Mtoto wa primary darasa la tatu umpakize abadilike kuwa jini??? Waafrika Waafrika
Ila mkuu chonde chonde na wanafunzi wa kike nakusihi sana , wengi wao Wana makusudi ya kukusudia na ikitokea amebahatika mimba kukupeleka jela ni fasta.
 
Gari napakia wafanyakazi wenzangu na siku nikiamka mwez mchanga nawapita kama siwaoni[emoji34]mkuu acha kutoa lift kwa kila mtu
 
Hivi vitoto vya shule pia awe navyo makini hasa vya kike,avichelewi kupewa mimba vikakulushia ww,au ikatokea umempa lifti mtu alafu akazima kwenye gari,wallah nakwambia hadi upelelezi ukamilike ni miaka sita upo lumande.
Hivi kumbe ni hatari hivi eeh?
 
Back
Top Bottom