Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Hahahah na huo ulevi wa lift ndio unawavuaga chupi kirahisi sana. Yani demu akishakaa kushoto pale hamna sera utampa aikatae. We muulize anapoenda tu umpeleke utajionea.
Kweli asee,

Baadhi yao ujasiri wa kumkataa mwenye gari ni mdogo tena ni hakuna kabisa

Tena kibaya zaidi wanaume wenye magari hawaongi, si wanajua umeshoboka? huwa wanaonga wenye magari wenzao, so sad[emoji26]
 
Kutongozea gari hamna tofauti na kuhonga hela hovyo ili umchanganye demu tu.

Yani gari na pesa ni sawa na mtu anayeenda Kilimanjaro anaweza pitia Bagamoyo au Chalinze ila kufika atafika tu.
Haahaaa[emoji16][emoji16]
 
Hayo maswala muachie trafiki, ukishapanda we ni kuelekea katika kilele cha burudani tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] full mufindi na ki music laini.
Huhuuuhuu

Halafu brazamen akiwa na gari sio lake utajua, mi ntakuangalia wenge lako na mikono yako kwenye sterling zamanii sana nshajua lako au umeazima, siombi hata kadi
 
Huhuuuhuu

Halafu brazamen akiwa na gari sio lake utajua, mi ntakuangalia wenge lako na mikono yako kwenye sterling zamanii sana nshajua lako au umeazima, siombi hata kadi
Kwamba nifanye mbwembwe kwenye gari la mtu🤣🤣🤣!!! Amnaga hio, natulia kama namuendesha Raisi!

Sema magari yenye alarm ndio ya kisenge. Kuna jamaa alishaaibika zile gari zenye beeps. Kila ikisogea metre kadhaa ina beep mwisho inajizima engine 😂😂😂!

Hakupewa maelekezo ya Alarm ngoma ikajamba kwenye foleni hahahah. Alitamani ardhi ipasuke ikabidi ampigie mwenye gari aje amtolee gari jamaa aliaibika sana demu akamtosea mazima.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kichaa wewe
Uzi wake tunausongesha angalau na yeye ajione ana uzi wenye comments nyingi, linaleta dharau![emoji15][emoji15]
 
Saaana, hala pale mbezi mwisho kuna wnafunzi wanaruhusiwa saa10 lakini utawakuta wamekaa wanapigastory hawaendi makwao, nadhani wanategea kazi za nyumbani
Vina tabia mbayaa sana hasa vya kike, na makondakta ndo wanakamatia pale! We acha tu
 
Kwamba nifanye mbwembwe kwenye gari la mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!!! Amnaga hio, natulia kama namuendesha Raisi!

Sema magari yenye alarm ndio ya kisenge. Kuna jamaa alishaaibika zile gari zenye beeps. Kila ikisogea metre kadhaa ina beep mwisho inajizima engine [emoji23][emoji23][emoji23]!

Hakupewa maelekezo ya Alarm ngoma ikajamba kwenye foleni hahahah. Alitamani ardhi ipasuke ikabidi ampigie mwenye gari aje amtolee gari jamaa aliaibika sana demu akamtosea mazima.
Haaahaaa

Wenye magari ya kuazima huwa mna speed ya kufa mtu, na maneno mengi hayakauki mdomoni[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Washemzi sana hawa watoto. home wanarudi usiku ukimbeba wanadhani umetoka kumpasha kumbe walaaaaa
[emoji16][emoji16][emoji1787] we jamaa wewe

Achana navyo mkuu hizo swaga waachie makonda, wao hawana cha kupoteza[emoji16][emoji16]
 
Nakupinga mzee. Wengi ni roho mbaya tu. Believe me!
Mtoto wa primary darasa la tatu umpakize abadilike kuwa jini??? Waafrika Waafrika

Watu wanaposema sababu za kiusalama wengi hufikiri ni za kumdhuru mmiliki moja kwa moja na kusahau kuwa yawezekana mtu unayempakiza akapatwa na madhara akiwa ndani ya gari lako hili tayari linakuweka kwenye Jeopardy swala kubwa ni dhamana ya yule mtu unayempakiza kwa mfano umepakiza mtoto wa shule akachelewa kwao au ukapata nae ajali familia yake inapokuhold responsible kwa wema wako inakuwa ni usumbufu.
Issue kubwa inayofanya watu kufunga vioo ni visanga vya watu wakipewa lift ! Mwengine atanunua na mihogo aanze kula humo kuchafua gari na story zisizo na staha yaani ustaarabu sifuri lakini pia watu wengi hupenda privacy ndio maana wameamua kununua private cars sasa ukipakiza mtu unapoteza privileged hii na si roho mbaya ni maamuzi tu .
 
Matako yako yanamasizi! Pumbavu
Haahaaa chizi we

Nimewaza masizi hapa mbavu sina[emoji15][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji1787]

Sawa mkuu, ngoja tuendeleze chai humu

By the way, pumbavu mwenyewe, jinga kabisa
 
Back
Top Bottom