Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa ujumla mademu karibu wote wanapenda magari sana, utasikia Mswati uko wapi?
Plz njoo basi unipitie mahali[emoji28]
Sio wote bana, mi napenda mtu awe na ndinga kali kuliko yangu ndo ntamuheshimu, sio ilimradi gari tu
 
Uko sahihi, mimi mwenyewe mlevi sana wa magari makali, sema kauwezo kanajikongoja tu
Mkuu jibane hadi umiliki, mwenzio siku hizi nashindia biscuit ili nivute kitu kikali zaidi
 
Madem wengi showoff tu hakuna lingine

Badala mdada upigane uwe na gari lako kwa jasho lako, unang'ang'ania lift tu huku mbunye inazidi kuchakazwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkinunua wote wanaume tutafaidi wapi.
Japo kutongozea gari nako ni ushamba tu
 
Ni lift tu au ulikuwa unawatafuna? 30 ilee[emoji1787][emoji1787][emoji16]
Hapana ni lift tu tena nliwakuta njiani wapo kama 6 wamekaa stend pale Mbezi mwisho wakanisimamisha nikawapakia,

wengi wakashuka Luguruni, K. Hospital na Kwa Mangi akabaki mmoja nikamshusha K.CCM ilikuwa mida ya saa2 usiku. Mama yake na Baba yake walipomuona wakachukua namba ya gari. Waliangalia mtandaoni wakapata namba yangu ya simu kesho naitwa polisi, sikujua kosa so nlienda baada ya kutoka job mida ya saa 9 maelezo yakawa mareeefu ilibidi na wale wengine waitwe ili kuthibitisha kwamba nliwapa lift. Nikaapa kutowapa lift ng'o.
 
Madem wengi showoff tu hakuna lingine

Badala mdada upigane uwe na gari lako kwa jasho lako, unang'ang'ania lift tu huku mbunye inazidi kuchakazwa
Hahahah na huo ulevi wa lift ndio unawavuaga chupi kirahisi sana. Yani demu akishakaa kushoto pale hamna sera utampa aikatae. We muulize anapoenda tu umpeleke utajionea.
 
Mkuu pole, nashauri usiruhusu kuwa danguro ni mikosi mitupu.
Hivi utombee ndani halafu uje kupakia familia mule ndani hufili aibu?
Labda umle gf wakovau mkeo ukizidiwa mkiwa safarini
Mapenzi kwenye gari yako ni mikosi mitupu, I strongly hate this! Hata mume wangu haruhusiwi , sembuse mtu baki.Japo watu wanasema huko japan aliyekuwa analimiliki umejuaje alikuwa habutui k kwenye gari? But it doesn't make sense as long as limeshatua mikononi mwako
 
Back
Top Bottom