Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Msaada unambatana na magumu yake.
Kuna siku niwainea watu huruma muda wa saa4 usiku wamesimama kituoni bila usafiri na hawana uhakika wa kupata usafiri.
Niliamua kuwachukua hadi town japo mimi tayari nilikuwa nimefika maeneo yangu.
Bahati mbaya gari lilikuwa halina maji kwani dereva aliyekuwa anaendesha mchana alikuwa mdogo wangu na hakukagua gari asubuhi.
Nilipoanza kupandisha mlima gari ikazima ghafla, kumbe nimekaanga injini.
Abiria wote 8 walishuka na kuniacha kimya kimya isipokuwa jamaa mmoja alisalia kunisaidia kusukuma niliweke pembeni.
Hii ilinivunja moyo sana kwani niliwabeba bure
Humjui vizuri binadamu wewe[emoji28][emoji28]
 
We si una ile chura niparamie[emoji28][emoji28][emoji1787]
Ile niliuza, nimeagiza kamahii...[emoji39][emoji6][emoji847]
FB_IMG_1475902832458.jpg
 
My wish nikimiliki gari ni lazima nimmegee mtu humo kwanza. Baharini, kichochoroni, vichakani tayari bado kwenye gari.
Sikushauri mkuu, juzi nimepata mkosi wa kisenge..Nimebutua mbunye humo kumtoa mlimbwende nimuage nikalokia funguo ndani.

Nimefata spare kurudi wamenisafisha hela zote nilizoficha ndani ya gari.
 
Sikushauri mkuu, juzi nimepata mkosi wa kisenge..Nimebutua mbunye humo kumtoa mlimbwende nimuage nikalokia funguo ndani.

Nimefata spare kurudi wamenisafisha hela zote nilizoficha ndani ya gari.
Mkuu pole, nashauri usiruhusu kuwa danguro ni mikosi mitupu.
Hivi utombee ndani halafu uje kupakia familia mule ndani hufili aibu?
Labda umle gf wakovau mkeo ukizidiwa mkiwa safarini
 
Sikushauri mkuu, juzi nimepata mkosi wa kisenge..Nimebutua mbunye humo kumtoa mlimbwende nimuage nikalokia funguo ndani.

Nimefata spare kurudi wamenisafisha hela zote nilizoficha ndani ya gari.
Mbunye kama mbunye haijawahi kuwa salama hata kidogo[emoji16][emoji16][emoji28][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji16]
 
Back
Top Bottom