Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Aisee, kumiliki gari raha sana. Leo nimewapa lift watu 6 kwenye babywoka yangu!

Kwa style ile wahuni tutaendelea kuazimana magari tu [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Huwez mfata mtoto mpenda magari kama wity na kigari kemchwa kemchwa namba A au B! Ni kukamata DUE tu
Ntaomba kadi ya gari na kitambulisho cha kura na leseni dadeki, hunipati kirahisi[emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkinunua wote wanaume tutafaidi wapi.
Japo kutongozea gari nako ni ushamba tu
Kutongozea gari hamna tofauti na kuhonga hela hovyo ili umchanganye demu tu.

Yani gari na pesa ni sawa na mtu anayeenda Kilimanjaro anaweza pitia Bagamoyo au Chalinze ila kufika atafika tu.
 
Mapenzi kwenye gari yako ni mikosi mitupu, I strongly hate this! Hata mume wangu haruhusiwi , sembuse mtu baki.Japo watu wanasema huko japan aliyekuwa analimiliki umejuaje alikuwa habutui k kwenye gari? But it doesn't make sense as long as limeshatua mikononi mwako
Uko sahihi
 
Ntaomba kadi ya gari na kitambulisho cha kura na leseni dadeki, hunipati kirahisi[emoji16][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Hayo maswala muachie trafiki, ukishapanda we ni kuelekea katika kilele cha burudani tu 🤣🤣🤣 full mufindi na ki music laini.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkinunua wote wanaume tutafaidi wapi.
Japo kutongozea gari nako ni ushamba tu
Haaa haaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]

Kumbe kimkakati zaidi[emoji16][emoji16][emoji28]
 
Hapana ni lift tu tena nliwakuta njiani wapo kama6 wamekaa stend pale Mbezi mwisho wakanisimamisha nikawapakia wengi wakashuka Luguruni na K. Hospital akabaki mmoja nikamshusha K.CCM ilikuwa mida ya saa2 usiku. Mama yake na Baba yake walipomuona wakachukua namba ya gari. waliangalia mtandaoni wakapata namba yangu ya simu kesho naitwa polisi, sikujua kosa so nlienda baada ya kutoka jobu mida ya saa9 maelezo yakawa mareeefu ilibidi na wale wengine waitwe ili kuthibitisha, kwamba nliwapa lift. Nikaapa kutowapa lift ng'o.
Mmmmh pole mkuu wema wako ulikuponza
 
Back
Top Bottom