Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Ahahahaha
Mkuu nitakupa ukule mzigo kabisaDah kwahio arudi au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahaha
Mkuu nitakupa ukule mzigo kabisaDah kwahio arudi au
Hahahah kwahio kwamba we hujamtafuna kmmmke dah!Mkuu nitakupa ukule mzigo kabisa
Ulikuwa wapi mummie?Hongera sana mkuu . Ubarikiwe
Basi we mpenda mizigo umepata[emoji38][emoji38][emoji38]Hahahah kwahio kwamba we hujamtafuna kmmmke dah!
Kuna dude moja liko MDH kmmmk liliwahi nifanyisha shopping ya gauni k'koo bila kupenda ili nibambie tu.Toto limevimba na mzigo wa hatari[emoji13]
Aisee nipo sema majukumuUlikuwa wapi mummie?
Kitambo sijaona comments zako.
Uzi ni mali ya jf, kama ni wako ufungie ndani kwako[emoji28]Dah... Washkaji wamegeuza uzi wangu kijiwe cha soga!
Hata jini akikuomba lift si mbaya kumusogeza.Nakupinga mzee. Wengi ni roho mbaya tu. Believe me!
Mtoto wa primary darasa la tatu umpakize abadilike kuwa jini??? Waafrika Waafrika
Ndugu yangu unachelewa tuHivi humu jf kila mtu anamiliki usafiri wake, ispokua mimi tu...[emoji848][emoji848]
Hatari sana hii........[emoji23][emoji23][emoji23]Ndugu yangu unachelewa tu
Ukiwa na idear ya gari piga stori kama unalo.
Sometime ulizia tatizo linalosumbua gari yako.
Jipe raha mkuu. Unashindwa kumiliki gari hata kwa maneno.
Ndio maana huwa hawa ku tag. Wala haumo kwenye ID zinazokumbukwa jf
Hahahah hayo maeneo yanakuwaga shazi sana esp. muda wa jioni jioni ule saa 11 hivi! Kama mtu wa kulenga huwezi kosa kichwa.
Mimi kuna binti aligongwa na gari akiwa amebebwa na pikpiki.
Nilisimama kumahuaha binti flani, ghafla ist ilingia kwa pupa road akamvaa bodaboda akiwa amempakia binti.
Waliburuzwa vibaya
Nililazimika lumbeba binti kwani dreva boda alikimbia.
Nikampelela polisi kupewa pf3.
Then nikamuwahisha hospital kwani alikuwa amezimia.
Hosp. Nililazimika kulioia ndipo apate tiba.
Nilijikuta nabeba dhamana yake yaani kila kitu ikawa mimi.
Hadi ndg wapate taarifa ilikuwa ni usiku wa manane.
Unawachaji bei gani mzee baba!?Kama una baby walker yako unapata mafuta ya kesho kazini na asubuhi unawapitia wa kukupa hela ya chai na chakula cha mchana [emoji28]
Hii biashara ya kupewa mafuta na wafanyakazi wenzio utakuwa utumwa.Unawachaji bei gani mzee baba!?
Kama una baby walker yako unapata mafuta ya kesho kazini na asubuhi unawapitia wa kukupa hela ya chai na chakula cha mchana [emoji28]
Hahaha anakuwaje mmiliki wakati kadi yako na funguoHii biashara ya kupewa mafuta na wafanyakazi wenzio utakuwa utumwa.
Mtu alikupa mia yake naye anajifanya mmiliki mwenzio
Ikiwa utalazimika uende kuwapitulia kwa wakati hapo umeshakuwa mtumwa sawa na dereva taxiHahaha anakuwaje mmiliki wakati kadi yako na funguo
Hahahah sasa si wanakupa hela lakini? Amna cha utumwa hapo ukitaka unawabeba free ili ukiwakataa wasiongee kituIkiwa utalazimika uende kuwapitulia kwa wakati hapo umeshakuwa mtumwa sawa na dereva taxi
Moja ya vitu ambavyo naogopa kufanya ni hicho.. Labda kama hilo gari halitopakia wazazi wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]My wish nikimiliki gari ni lazima nimmegee mtu humo kwanza. Baharini, kichochoroni, vichakani tayari bado kwenye gari.