Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Hahahah kweli mtihani ila wanaume bana duhHaaaahaaaahaaaahaa
Mfalme mswati kapata mtihani anasema[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahah kweli mtihani ila wanaume bana duhHaaaahaaaahaaaahaa
Mfalme mswati kapata mtihani anasema[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]bro yule majeruhi anatako balaa, wabongo walikuwa wanamgeuza akiwa chini wanameza mate, alisikika kijana akisema dada anakufa na shepu lake matataKamtafuna majeruhi kimasihaa
We kula bana acha michezo ya kuchezea chakula kilichopo mezani😂😂😂Alinitafuta baada ya miezi 3 yaani wiki 2 zilizopita.
Naona amejaa shukrani lakini mhh sijaridhia mkuu
Usiniponze mkuuWe kula bana acha michezo ya kuchezea chakula kilichopo mezani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahah nomaIla mkuu chonde chonde na wanafunzi wa kike nakusihi sana , wengi wao Wana makusudi ya kukusudia na ikitokea amebahatika mimba kukupeleka jela ni fasta.
Najua utakula tu mkuu, huwezi kutembelea muwa kama mkwajuUsiniponze mkuu
Hahahah namie nilijua huo ndio msukumo wake. Sio hivi hivi dude kama Poshy queen lianguke lazma ukajizolee pwenti za mezani😂😂😂[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]bro yule majeruhi anatako balaa, wabongo walikuwa wanamgeuza akiwa chini wanameza mate, alisikika kijana akisema dada anakufa na shepu lake matata
Mkuu amezidiwa sana na wanaonizunguka.Najua utakula tu mkuu, huwezi kutembelea muwa kama mkwaju
Hapana mkuu, mimi nimeumbiwa huruma siwezi kumwacha hata mmsai mwenye shida lazima nifanye ninachowezaHahahah namie nilijua huo ndio msukumo wake. Sio hivi hivi dude kama Poshy queen lianguke lazma ukajizolee pwenti za mezani[emoji23][emoji23][emoji23]
Asingekuwa na tako mngemsusa huyo dah
Msaada gani zaidi ya yote nipatie namba yake mi ntajitambulisha kama mdogo wako 🤣🤣🤣 kisha natambaa na chakiMkuu amezidiwa sana na wanaonizunguka.
Kwa kifupi nina ulimi wa kimalaya mkuu, ninahitaji msaada[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
HahahahahahHapana mkuu, mimi nimeumbiwa huruma siwezi kumwacha hata mmsai mwenye shida lazima nifanye ninachoweza
Bahati mbaya ameondoka tabata leo[emoji38][emoji38][emoji38]Msaada gani zaidi ya yote nipatie namba yake mi ntajitambulisha kama mdogo wako [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kisha natambaa na chaki
Ameondokaje tabata mkuu, ni kwao au kwako?Bahati mbaya ameondoka tabata leo[emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu nitakupa kiroho safi kabisa huenda ni bahati yake
Maeneo yako mkuuAmeondokaje tabata mkuu, ni kwao au kwako?
Ahahahaha[emoji28][emoji28]
We jamaa mchonganishi
Dah kwahio arudi auMaeneo yako mkuu