Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Hata uwe na gari kumi nakushauri usigeuze gari danguroMoja ya vitu ambavyo naogopa kufanya ni hicho.. Labda kama hilo gari halitopakia wazazi wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yana Kupakia wazazi kwenye gari ninalogegedea bado utakuwa mtihani.. Pengine itokee ninayo mawili labda moja ndo liwe la kupigia matukio
*Bado sijafanikiwa kumiliki gari lakini*