Aisee kuna mtu nambembeleza huku chakula hakipiti

Kweli kabisa alishaambiwaga na jamaa flani hivi akamtukana juzi juzi tu akaona jamaa kama anamuonea wivu

Kwa aina ya kizazi hichi cha vijana wa kiume wanawake watatupanda sana kichwani.
 
Apime hiyo mimba,then ambwage mbona hiyo iko wazi,michango irudishwa harusi itapangwa tena.
Unambembeleza bila kutafuta solution?
Demu anakubania wewe alafu nje anagawa
Apime mimba ya nini wakati hajawahi kumgonga ata once
 
Mungu anampenda sana huyo jamaa

Akimaliza kulia akusanye hiyo michango ya harusi afanye biashara.
 
Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao.
Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu zisikie tu kwa wengine zisi kukute.
Jana ulileta bandiko hapa! Ukidai Umetumiwa video Mchumba wako anakazwa! Leo tena mchumba wa jamaa ana mimba?...hueleweki jombaa....au yule yule uliyetaka kumuoa ambaye ulitumiwa video akanazwa sasa ana mimba?....
 
Issue simple tu aende kijijin atafute mtot mbiichii apime mashine atangaze ndoa jina libadilishwe tu chap simple aende na muda alikuwa anataka kuvaa bomu
 
Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao.
Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu zisikie tu kwa wengine zisi kukute.
Aisee
 
mwambie aje anioe
 
Ilitakiwa akapate beer mbili baridi kushukuru kashtuka mapema.
 
Jamaa si akampime kwanza au kajihakikishiaje?

Ila kama imo mbona simple tu, katanguliziwa majalo yeye akafunge tu
 
Mwambie anitafute nimpe ushauri, hatajuta, vitu vidogo sana hivyo.
 
Mwamba mmoja kagawa kadi za harusi watu wamechanga na tarehe imetangazwa Tayari ni mwezi ujao.
Jamaa kasikia kwamba demu ana mimba. Nahajawahi mgusa. Niko hapa nabembeleza mtu aisee hizi ishu zisikie tu kwa wengine zisi kukute.
Joseph na Maria,roho mtakatifu kaweka
 
Sasa unaoaje mwanamke bila kumla kwanza, tatizo ndio limeanzia hapo
 
Kweli kabisa alishaambiwaga na jamaa flani hivi akamtukana juzi juzi tu akaona jamaa kama anamuonea wivu
Demu ashaujua udhaifu wa jamaa tayari kaona ni mbwiga mmoja wa ikwiriri.
 
Pole kijana, piga U-turn ya haraka sana. Demu akibanjuliwa na mwingine kiasi cha kutiwa mimba hauna chako hata kidogo. Huruma itakuponza, ACHA KABISA, NDOA NI SCAM!!🚫❗️
 
Jana ulileta bandiko hapa! Ukidai Umetumiwa video Mchumba wako anakazwa! Leo tena mchumba wa jamaa ana mimba?...hueleweki jombaa....au yule yule uliyetaka kumuoa ambaye ulitumiwa video akanazwa sasa ana mimba?....
Misala tofauti
 
Back
Top Bottom