ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kweli kabisa alishaambiwaga na jamaa flani hivi akamtukana juzi juzi tu akaona jamaa kama anamuonea wivu
Kwa aina ya kizazi hichi cha vijana wa kiume wanawake watatupanda sana kichwani.Kweli kabisa alishaambiwaga na jamaa flani hivi akamtukana juzi juzi tu akaona jamaa kama anamuonea wivu