Ukiliwa ndogo usilalamikeπ€£ maana wengi wenu maneno mengi humu ila kuliwa ndogo mnaogopaHyo ngoja ibaki kwa mashemasi
Kwa hiyo staili zingine ni za shetani?...and above all hiyo staili ndo naturally recommended by God.....
Sure wanafikiri pombe ni ujanha acha wasaidiwe tu ππNguvu zinataka mzunguko mzuri wa damu. Sasa wengi wetu hasa tunaoishi mijini chakula kikubwa ni sukari na mafuta tena yale poor quality.
Matokeo tunajaza mioyo mafuta hadi mishipa inakuwa clogged. Hamna tena free movement ya damu kwenda kwenye mishipa midogo ya uume inakuwa mashine haijai damu ndio ishu ya ulegevu inaanzia.
Mazoezi ni muhimu sana ila pia diet nzuri sema sasa wengi ndio unakuta unakula kilichopo sio utakacho sababu uchumi mmbovu. Unafanya mazoezi ila kama kutwanga maji kwenye kinu tu.
Watakua na Uhusiano na DALI KIMOKOWaungwana salama,
Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo
Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.
Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Anza kulipa baadhi ya Bill's ndani ya nyumba zile kubwa kubwaWaungwana salama,
Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo
Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.
Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Abeee kaka
Hamna mtu mwenye majukumu ya kweli tajiri, smart bussiness man, caring father, mwana siasa mbunge, Waziri nk. anae weza kuenda round 3 non-stop akiwa kifuani, ukifanya hivo jua wewe mjiga utajiri ni wa kurithi au wakubahatisha tu.Nikazi kubwa sana msichukulie poa.
Huwezi simamia ukucha 40mins, wakati unawaza kulipa kodi...Ukimkumbuka baba mwenye nyumba inanywea yenyewe[emoji125][emoji125]