Aisee kuna wanaume wavivu

Aisee kuna wanaume wavivu

Nguvu zinataka mzunguko mzuri wa damu. Sasa wengi wetu hasa tunaoishi mijini chakula kikubwa ni sukari na mafuta tena yale poor quality.

Matokeo tunajaza mioyo mafuta hadi mishipa inakuwa clogged. Hamna tena free movement ya damu kwenda kwenye mishipa midogo ya uume inakuwa mashine haijai damu ndio ishu ya ulegevu inaanzia.

Mazoezi ni muhimu sana ila pia diet nzuri sema sasa wengi ndio unakuta unakula kilichopo sio utakacho sababu uchumi mmbovu. Unafanya mazoezi ila kama kutwanga maji kwenye kinu tu.
Sure wanafikiri pombe ni ujanha acha wasaidiwe tu 😂😂
 
Waungwana salama,

Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo

Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.

Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Watakua na Uhusiano na DALI KIMOKO
🤓🤓🤓🤓
 
Waungwana salama,

Yani week nzima unajiandaa kula tunda na mwenza wako halafu anakuja anakupa kifo cha mende kimoja (style ya mvivu) chaliii amelala hadi asubuhi nguvu hana tena..... unahangaika weee kumuamsha ndo ashalegea hvyoo yani bao moja na kulala fofofo

Hebu tafuteni mkongo muongeze hzo nguvu.

Nasubiri mawe yangu mnipopoe nimekaa paleee
Watukanaji mje na matusi mapya
Anza kulipa baadhi ya Bill's ndani ya nyumba zile kubwa kubwa
 
Nikazi kubwa sana msichukulie poa.
Huwezi simamia ukucha 40mins, wakati unawaza kulipa kodi...Ukimkumbuka baba mwenye nyumba inanywea yenyewe[emoji125][emoji125]
Hamna mtu mwenye majukumu ya kweli tajiri, smart bussiness man, caring father, mwana siasa mbunge, Waziri nk. anae weza kuenda round 3 non-stop akiwa kifuani, ukifanya hivo jua wewe mjiga utajiri ni wa kurithi au wakubahatisha tu.

Wanao weza hivo ni boda boda, waalimu, dereva tax, kondo vibarua shamba boy nk..hao mental yao inauwezo of high concentration on sex.
 
Back
Top Bottom