Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Kwanza barca akifungwa kwenye million Sita huwez kuletewa million mbili, zaidi utapewa laki Tatu tuu baada ya nusu saa tu mhindi anaweka makufuli huyu jamaa MwongoIla huyu jamaa anadanganya
1xbetHii app gani
Ilikuwa 6m na somethingUlibet GAME 8...Stake 23k..POSSIBLE WINNING ilikua bei gn mkuu?
Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
Acha ubishi kajarbu betpawa saivi anaachia mapka dkk 70s unacash out mm nimecash out dkk ya 76s, mm mwenyew nilijua itagoma Cha ajabu ilikubali na nilitoa Laki 4,, coz yey mwenyew lazima ajitete maana anajua lolote lingetokea ingekuwa faida kwanguKwanza barca akifungwa kwenye million Sita huwez kuletewa million mbili, zaidi utapewa laki Tatu tuu baada ya nusu saa tu mhindi anaweka makufuli huyu jamaa Mwongo
Mchezo gani?Weka, hizi 200, miambili kwenye betpawa, utaishi bila kuutesa moyo
Tatizo lingine ni kwamba ukipata huachi!Yeah Thats how tunafanya...Like sports entertainment tu na ukipata unafurahi ukikosa ni kama yanga na ihefu tu π€£π€£
Uongo kupata 6m kwa 23k ni sawa na odds 2600 kwa timu nane uongoNiliweka elfu ishirin na tatu
Weka huo mkekaAfu we jamaa kichwa kibovu kweli pia ni mshamba wa kubeti,, hizo odds ulizoweka unajua me niliweka options Gani Kwa hizo timu nane
Uliza sio kulopoka et uongo
Hapana ni odds 260 au kama zikiwa boosted ni odds only 200 tu unapata hiyo 6m kwa 23..Uongo kupata 6m kwa 23k ni sawa na odds 2600 kwa timu nane uongo
Hii 100% unakuwa mraibu Sana πππ ila vizur ninkwamba ukijitambua unajua kupanga budget ya pesa zako zipi utumie na zipi usitumie ππTatizo lingine ni kwamba ukipata huachi!
Afu kumbuka Kuna win bonus the way ulivojilipuaHapana ni odds 260 au kama zikiwa boosted ni odds only 200 tu unapata hiyo 6m
Huyu kijana kakariri direct na double chance ajui Kuna option timu Moja unaweza kutoka na odds 9 japo nyingi zinakuwaga impossible San kushinda na they way unavojilipua ndivyo bonus win inavyopanda Ina depnd pia na kampuni husikaHapana ni odds 260 au kama zikiwa boosted ni odds only 200 tu unapata hiyo 6m kwa 23..
Lakini hata mechi 5 tu inaweza ikatoa odd zaid ya 1000 kwa mfano correct score unakuta timu moja inatoa odds 8 kwa mechi moja sasa tufanye ameweka zote correct score na odds kila mechi zikasoma 7,8,9,5,4,6,7,7 hii hapa itatoa odds 2,963,520..
So wingi waa odds inategemea na Option atakayoweka wengi wamezoea Direct na double chances ππ
Weka hapa hiyo bet slip tuone acha keleleJina lako lenyew linasadifu uchiz na utahira wako hata nikiuweka hpa bado hutaamin
Hao wageni kwenye bet Watu tumeanza bet Tagu tunacheza kwenye casino na Farasi ππ na mbwa plus CherryAfu kumbuka Kuna win bonus the way ulivojilipua
Huyu kijana kakariri direct na double chance ajui Kuna option timu Moja unaweza kutoka na odds 9 japo nyingi zinakuwaga impossible San kushinda na they way unavojilipua ndivyo bonus win inavyopanda Ina depnd pia na kampuni husika