Aisee michezo ya kubahatisha (kubeti) kama huna afya nzuri unaweza ukafa huku unajiona

Kwanza barca akifungwa kwenye million Sita huwez kuletewa million mbili, zaidi utapewa laki Tatu tuu baada ya nusu saa tu mhindi anaweka makufuli huyu jamaa Mwongo
Acha ubishi kajarbu betpawa saivi anaachia mapka dkk 70s unacash out mm nimecash out dkk ya 76s, mm mwenyew nilijua itagoma Cha ajabu ilikubali na nilitoa Laki 4,, coz yey mwenyew lazima ajitete maana anajua lolote lingetokea ingekuwa faida kwangu

Na nikweli faida alipata yey coz nilimpa double chance dkk ya 87s akachomoa, so Cha msingi saiv ni kuwa na roho ya chuma
 
Uongo kupata 6m kwa 23k ni sawa na odds 2600 kwa timu nane uongo
Hapana ni odds 260 au kama zikiwa boosted ni odds only 200 tu unapata hiyo 6m kwa 23..

Lakini hata mechi 5 tu inaweza ikatoa odd zaid ya 1000 kwa mfano correct score unakuta timu moja inatoa odds 8 kwa mechi moja sasa tufanye ameweka zote correct score na odds kila mechi zikasoma 7,8,9,5,4,6,7,7 hii hapa itatoa odds 2,963,520..
So wingi waa odds inategemea na Option atakayoweka wengi wamezoea Direct na double chances 😀😀
 
Hapana ni odds 260 au kama zikiwa boosted ni odds only 200 tu unapata hiyo 6m
Afu kumbuka Kuna win bonus the way ulivojilipua
Hapana ni odds 260 au kama zikiwa boosted ni odds only 200 tu unapata hiyo 6m kwa 23..

Lakini hata mechi 5 tu inaweza ikatoa odd zaid ya 1000 kwa mfano correct score unakuta timu moja inatoa odds 8 kwa mechi moja sasa tufanye ameweka zote correct score na odds kila mechi zikasoma 7,8,9,5,4,6,7,7 hii hapa itatoa odds 2,963,520..
So wingi waa odds inategemea na Option atakayoweka wengi wamezoea Direct na double chances 😀😀
Huyu kijana kakariri direct na double chance ajui Kuna option timu Moja unaweza kutoka na odds 9 japo nyingi zinakuwaga impossible San kushinda na they way unavojilipua ndivyo bonus win inavyopanda Ina depnd pia na kampuni husika
 
Afu kumbuka Kuna win bonus the way ulivojilipua
Huyu kijana kakariri direct na double chance ajui Kuna option timu Moja unaweza kutoka na odds 9 japo nyingi zinakuwaga impossible San kushinda na they way unavojilipua ndivyo bonus win inavyopanda Ina depnd pia na kampuni husika
Hao wageni kwenye bet Watu tumeanza bet Tagu tunacheza kwenye casino na Farasi 😀😀 na mbwa plus Cherry
 
Mimi mgeni kwenye kubet wakuu naombeni kueleweshwa hapo ambapo una cashout before game haijaisha huku timu zote umeshinda bado moja naomba maelezo ya kutosha tafadhali
 
Back
Top Bottom