Aisee michezo ya kubahatisha (kubeti) kama huna afya nzuri unaweza ukafa huku unajiona

Mnajieleza sana , timu nane betpawa (ambao ndio kampuni inayotoa bonus kubwa ) wanatoa bonus ya 25% bado 23k to 6M havihusiani.
Nawewe tuoneshe mkeka ambao ulikula kwa hizo odds ulizo weka hapo juu
 
Mnajieleza sana , timu nane betpawa (ambao ndio kampuni inayotoa bonus kubwa ) wanatoa bonus ya 25% bado 23k to 6M havihusiani.
Nawewe tuoneshe mkeka ambao ulikula kwa hizo odds ulizo weka hapo juu
Tena Barcelona alimpa double chance
 
Vijana wanatupanga sana humu eti 23k to 6M timu 8 kwenye mkeka huo huo baca unampa double chance odd 1.12 ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Oya ivi una ufahamu na masuala ya kubeti ngoja kwanza tuanze hapo.
 
Mimi mgeni kwenye kubet wakuu naombeni kueleweshwa hapo ambapo una cashout before game haijaisha huku timu zote umeshinda bado moja naomba maelezo ya kutosha tafadhali
Kucash out inawezekana hata kama Bado timu mbili hazijacheza ila huziamini unaweza ku cash out but dau linapungua tofauti na unge subir still end but inadepend na campany ya bet husika Kuna baadhi hazina option ya cash out ukiweka umeweka

Pia timu inaweza kuwa uwanjan ukaona kabisa hapa kuchomoka ni ngumu una cash out mara nyng ni kuanzaia dkk ya 1-50-60 but saiv mfano betpawa wanaenda mpka dkk70s unaruhusiwa ku cash out

Pia jinsi unavochelewa ku cash out ndivo dau linoendelea kushuka mfano ilikuwa inatakiwa ushinde lak6 inaweza shuka mpka elfu tano usishangae
 
Vijana wanatupanga sana humu eti 23k to 6M timu 8 kwenye mkeka huo huo baca unampa double chance odd 1.12 ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
๐Ÿคฃ
Hata kama aliopt odds kumi kumi bado haifiki hata 200 odds sasa haapo๐Ÿค”๐Ÿค”
 
Hakuna kitu inaitwa "betting for fun", it's either you're in or out.

Halafu kinachoumiza watu sio stake aliyoweka, ni expected pay off, yaani hilo linaweza kuua mtu kwa pressure. Mtu kaweka 2k, expecting 20m, hiyo pesa inaweza kumuua.
 
tuachie mkuu, tulizoea shida na raha
 
Mnajieleza sana , timu nane betpawa (ambao ndio kampuni inayotoa bonus kubwa ) wanatoa bonus ya 25% bado 23k to 6M havihusiani.
Nawewe tuoneshe mkeka ambao ulikula kwa hizo odds ulizo weka hapo juu
Kuna sehemu Nimesema nimekula Mkekร  huo....
Tatizo kako ni Jina lako hilo (Sitaki kuamini) na kweli hutaki sasa checki hapa chini...
Hizo ni mechi tatu za correct score na imetoka 7m...

Sometymes tuache ubishi
 
Aahaaaa,pole mkuu
 
Man City Jana kasepa na mpunga Tena nilimpa ashinde au a draw Ila kala chuma dakika ya 86.
Nilikosa usingiz Jana had saiz nawaza tu kanji alivyonitoka .
 
Man City Jana kasepa na mpunga Tena nilimpa ashinde au a draw Ila kala chuma dakika ya 86.
Nilikosa usingiz Jana had saiz nawaza tu kanji alivyonitoka .
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚aaha Mzee Hata hamu ya kula Huwa inakata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ