Sitaki kuamini
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 343
- 1,021
Mnajieleza sana , timu nane betpawa (ambao ndio kampuni inayotoa bonus kubwa ) wanatoa bonus ya 25% bado 23k to 6M havihusiani.Hapana ni odds 260 au kama zikiwa boosted ni odds only 200 tu unapata hiyo 6m kwa 23..
Lakini hata mechi 5 tu inaweza ikatoa odd zaid ya 1000 kwa mfano correct score unakuta timu moja inatoa odds 8 kwa mechi moja sasa tufanye ameweka zote correct score na odds kila mechi zikasoma 7,8,9,5,4,6,7,7 hii hapa itatoa odds 2,963,520..
So wingi waa odds inategemea na Option atakayoweka wengi wamezoea Direct na double chances 😀😀
Nawewe tuoneshe mkeka ambao ulikula kwa hizo odds ulizo weka hapo juu