Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Na wao wawaachie wakina nan sasaWaachieni watu watu wao!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wao wawaachie wakina nan sasaWaachieni watu watu wao!
Siwezi kuacha kuzini nje ya ndoa,huko full shangwe yani unapewa style mpka shetani anakimbia chumbaniSawa. Kwa hiyo...
hahahaahhahaaSiwezi kuacha kuzini nje ya ndoa,huko full shangwe yani unapewa style mpka shetani anakimbia chumbani
Unaamini kila mwenye pesa ni lazima awe mchepukaji...?hapa kuna kaharufu ka uchumi kwenda mrama ivo ivo kiongozi komaa na mkeo
Hizo style zoote zimejaa kwa mkeo tena ktk ubora uliopitiliza,ni wewe tu hujajua uzipateje! Ongeza bidii kidogo hutaona haja ya kuchepuka!Siwezi kuacha kuzini nje ya ndoa,huko full shangwe yani unapewa style mpka shetani anakimbia chumbani
Angalizo: Nimezungumzia mke mwenye nia njema nawe, anakupenda na aliyeridhika nawewe ila wewe unamkomoa! Kwa mwanamke aliyekuja Kwa lengo la kuchuma kwako hahusiki hapa!Yani mtu kakaa na mke wake nyumbani kwake, halafu wewe unajifanya unawajua kuliko wanavyojuana wenyewe?
Hao mchepuko nao ni watu wa watu maisha ni kusaidiana
Waachieni watu watu wao!
Wabaki kwa wenye nao.Na wao wawaachie wakina nan sasa
Wewe ni nani mpaka uwapangie mtu na mkewe nia njema ni ipi?Angalizo: Nimezungumzia mke mwenye nia njema nawe, anakupenda na aliyeridhika nawewe ila wewe unamkomoa! Kwa mwanamke aliyekuja Kwa lengo la kuchuma kwako hahusiki hapa!
Ulipaona hapo?
Wewe ni nani mpaka uwapangie mtu na mkewe nia njema ni ipi?
Watu wawili wamekaa pamoja, wamefunga ndoa, wewe wa tatu unataka kuwapangia nia njema ni ipi kati yao?
Unataka kuolewa na wewe ufanywe mke wa pili kwenye hiyo ndoa uwaelekeze vizuri zaidi ukiwa ndani ya ndoa yao?
Maana haya maneno mengine mnayosema ni kama mnataka kuolewa na nyie.
Wewe mwanamme au mwanamke
Pole kwa stress za mahusiano yako zinazokutesa! Rudi tena andika yaliyoujaza moyo wako,huenda ukapata ahueni...!Wewe ni nani mpaka uwapangie mtu na mkewe nia njema ni ipi?
Watu wawili wamekaa pamoja, wamefunga ndoa, wewe wa tatu unataka kuwapangia nia njema ni ipi kati yao?
Unataka kuolewa na wewe ufanywe mke wa pili kwenye hiyo ndoa uwaelekeze vizuri zaidi ukiwa ndani ya ndoa yao?
Maana haya maneno mengine mnayosema ni kama mnataka kuolewa na nyie.
Wewe mwanamme au mwanamke?
Hao wapo wengi mkuu. Wengi wao ni wale wanaoishi na wewe ili kutimiza malengo yake. Hitaji lake siyo kuishi na wewe ila ni malengo yake kutimia. Kwa mtu kama huyu usitegemee iko siku atakuwa na upendo wa kweli kwako...Nikupe mfano,Kuna mbongo muvi aliolewa na yule mchezaji wa kimataifa wa Rwanda,ndikumana (marehemu) then wakaja achana,nadhani walikaa 2 years,baada ya kuachana,yule mbongo muvi aliwahi kunukuliwa akisema alikua hampendi jamaa hata kidogo,mtu Ana sura Kama nyani.
Unasemaje kwa hilo
Hii sawa, kuna wanaume wana michepuko vichomi sana na bado wanawavulimia lakini wanaume hao hao kwa wake zao wanawatendea ndivyo sivyo. Km ilivyo KUCHEPUKA ni kupita njia isiyo rasmi au ya muda hivyo bora ubaki njia kuu ifanyie matengenezo ya kila wakati na hutajutia.Nilichogundua wanaume wengi tunadanganyika saana kuliko uhalisia. Kuna watu hatuthamini wake zetu,tunathamini michepuko zaidi.
Kuna watu tunawatendea Kwa ukatili wake zetu saana na kuwalea michepuko kama mayai!
Kuna watu tunawafanya wake zetu kuona maisha hayana maana kiasi cha kuona ndoa ni janga kuubwa hivi lisilo na matumaini wala mwisho wake haujulikani itakuaje!
Lakini unajua mkeo huyo uliye naye na unayemchukulia poa, kama utamthamini,utamheshimu,utamtunza na kumpa hadhi anayoistajili na akawa na Amani ya kutosha na wewe,atakufanya upate Raha ya maisha kuliko unavyodhani ama ulivyowahi kujua!
Unajua anaweza kukuridhisha kuliko mchepuko Yeyote unayemthamini leo kuliko mkeo!
Mchepuko yupo kwa ajili yake (anakutumia wewe kwa maslahi yake),mkeo ypo Kwa ajili yako na yeye! (Na wengine wanakuthamini kuliko wao wenyewe...)
Lakini zingatia unatakiwa kumthamini,kumheshimu,kumtunza na kumpa hadhi anayoistajili ndipo atakuwa na Amani ya kutosha na wewe kisha utafaidi mema ya nchi!😀😀
Angalizo: Nimezungumzia mke mwenye nia njema nawe, anakupenda na aliyeridhika nawewe ila wewe unamkomoa! Kwa mwanamke aliyekuja Kwa lengo la kuchuma kwako hahusiki hapa!
Yule mbongo alitaka umaarufu tu wala hakuwa na shida ya mume, kwanza ni mtu anayependa ingizo jipya. Kuwa mume/mke si jambo la sport sports.Nikupe mfano,Kuna mbongo muvi aliolewa na yule mchezaji wa kimataifa wa Rwanda,ndikumana (marehemu) then wakaja achana,nadhani walikaa 2 years,baada ya kuachana,yule mbongo muvi aliwahi kunukuliwa akisema alikua hampendi jamaa hata kidogo,mtu Ana sura Kama nyani.
Unasemaje kwa hilo
Umenena mkuu...! Unajua kuna wanaume ni papa Kwa wake zao,ila kwa mchepuko wanyoonge hadi unawahurumia!Hii sawa, kuna wanaume wana michepuko vichomi sana na bado wanawavulimia lakini wanaume hao hao kwa wake zao wanawatendea ndivyo sivyo. Km ilivyo KUCHEPUKA ni kupita njia isiyo rasmi au ya muda hivyo bora ubaki njia kuu ifanyie matengenezo ya kila wakati na hutajutia.
Mmhhhh!!!!,,Are you serious?. Unawezaje kupenda dhambi wewe?,Sote ni wadhambi lkn hatuwezi kusema kuwa tunapenda dhambi,dhambi tunafanya lkn huku tukijisikia vibaya.Mimi napenda dhambi haswa ya kuzini
Utamu wa pipi mate yako, mwanaume anaacha toffee nyumbani anangangania pipi kifua na hana mafua, unakuta anapelekeshwa mbaya na mchepuko wakati mkewe ni mstaarabu anahitaji upendo tu, kuna jamii fulani wanawake wake wao wanajua kuagiza tu hawana lugha laini lakini bado utakuta mtu kaganda wakati mkewe akitaka kitu ataomba na kunyenyekea kwa upendo. Mpaka wavurugwe ndo watarudi nyumbani wakati huo na ule utu wema wa wake zao haupo tena.Umenena mkuu...! Unajua kuna wanaume ni papa Kwa wake zao,ila kwa mchepuko wanyoonge hadi unawahurumia!