- Thread starter
- #41
Kabisa...Utamu wa pipi mate yako, mwanaume anaacha toffee nyumbani anangangania pipi kifua na hana mafua, unakuta anapelekeshwa mbaya na mchepuko wakati mkewe ni mstaarabu anahitaji upendo tu, kuna jamii fulani wanawake wake wao wanajua kuagiza tu hawana lugha laini lakini bado utakuta mtu kaganda wakati mkewe akitaka kitu ataomba na kunyenyekea kwa upendo. Mpaka wavurugwe ndo watarudi nyumbani wakati huo na ule utu wema wa wake zao haupo tena.