Aisee! Mkeo anatosha. Anaweza kukupa kila kitu kuliko mchepuko yeyote

Aisee! Mkeo anatosha. Anaweza kukupa kila kitu kuliko mchepuko yeyote

Wee acha story toka lini mke akawa nawe kwa ajili yako....ingekuwa hivyo basi wangekuruhusu uwe na gegeda nje maana furaha ya mwanaume ni kugegeda papuchi

mzabzab ID ya kitambo sana hapa JF toka enzi hizo 2010 sijajiunga JF nilikuwa naiona
 
Angalizo: Nimezungumzia mke mwenye nia njema nawe, anakupenda na aliyeridhika nawewe ila wewe unamkomoa! Kwa mwanamke aliyekuja Kwa lengo la kuchuma kwako hahusiki hapa!

Ulipaona hapo?
Du mkuu unanukuu mpaka nukuta ilivyo yaani.
 
Waachieni watu watu wao!
mimi ninacho amini ndoa ni mpango wa mungu na wala si mpango wa mwanadamu ndio maana wale walio tafutia wake/waume na wazazi wao hawakuweza kudumu kwenye ndoa kwa sababu huo ulikuwa ni mpango wa mwanadamu,lkn ukweli ni kwamba wake tulio oa sio wale tuliokuwa tunawapenda kwa 100% bali tumekuja kuoa wengine na hii ni kwasababu mungu anatupa kile tunacho stahili wala hatupi kile tunacho kitaka sisi,pia ameahidi ktupa msaidizi wa kufanana na sisi kwa hiyo mke uliye naye kama anakupenda kwa zati mpende kwn siku akiamuo kuutoa upendo wake kwako utaumia sana tofauti na ulivyo kuwa unamchukulia.
 
Siku hizi mwanamke hata umthamin vipi atakunyea tu
 
Hakuna mwanamke atakupenda Kwa dhati wakati akiwa anajua wazi kuna mahali unagawanya upendo!

Hapo kinachopendwa ni maslahi yake na sio wewe. Ukitaka kuthibitisha hilo waulize walioacha wake Kwa sababu ya michepuko yao...au jaribu wewe (japo sikushauri kabisa) uone Moto wake!
 
Hakuna mwanamke atakupenda Kwa dhati wakati akiwa anajua wazi kuna mahali unagawanya upendo!

Hapo kinachopendwa ni maslahi yake na sio wewe. Ukitaka kuthibitisha hilo waulize walioacha wake Kwa sababu ya michepuko yao...au jaribu wewe (japo sikushauri kabisa) uone Moto wake!
Upo sawa kabisa, kuna mbaba kuchepuka mpaka kazalisha huko nakumtambulisha kwa mkewe kama mke mwenza sasa dada kalipokea kwa machozi kweli aliponyamaza jamani naye uwii kapata mchepuko halafu wamaana kumzidi mmewe daa naye kamwaga mboga na ugali Mme anakenua tu kumbe naye analiwa, visasi huwa vikali usiombe
 
Hapo sasa anapiga papuchi ilotoka kupigwa au saa nyingine hela anayompa mchepuko wake inamsaidia mwanaume mwingine kwenye biashara zake. hahahah kweli wapenda michepuko hawana vinyaa
Vinyaa wavitoe wapi yule anajua kabisa ana mke hivyo naye anakuwa naye wapembeni humo humo
 
Back
Top Bottom