Aisee! Mkeo anatosha. Anaweza kukupa kila kitu kuliko mchepuko yeyote

Kabisa...
 
Pole kwa stress za mahusiano yako zinazokutesa! Rudi tena andika yaliyoujaza moyo wako,huenda ukapata ahueni...!
You are as condescending as presumptious.

As ridiculous as arbitrary.

With such thick airs of pretensions, I could cut through them with a knife.
 
You are as condescending as presumptious.

As ridiculous as arbitrary.

With such thick airs of pretensions, I could cut through them with a knife.
Umeanza vema hebu ongeza bidii kidogo utafanikiwa.
 
Unaruhusiwa kurudi tena kama stress hazijaisha!
Unalazimisha hoja kama kawaida yako.

Stress unazo wewe unayeparamia ndoa za watu bila hata mualiko.

Ushapata bwana wa kukuoa hata ndoa ya mkeka?
 
Unalazimisha hoja kama kawaida yako.

Stress unazo wewe unayeparamia ndoa za watu bila hata mualiko.

Ushapata bwana wa kukuoa hata ndoa ya mkeka?
Nasisitiza,ongeza bidii! Kuna lingine limebaki bado? Andika tena.
 
Najuta ndio kwasababu nimefanya kosa la kuvunja amri ya Mungu,na wakati huo Mungu ninampenda Kwa Moyo wangu wote,Akili zangu zote,nguvu zangu zote na Kwa roho yangu yote.
Uzinzi hauepukiki kwenye karne hii ya mabata
 
Nasisitiza,ongeza bidii! Kuna lingine limebaki bado? Andika tena.
Bidii ukiiona utaijua ngumbaru unayejishebedua wewe?

Nani kakupa cheo cha kushauri watu usiowajua kuhusu ndoa zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…