Kawaida mbona hata mtoto wa kwanza wa macron anamzidi umriDaah kutiana aibu tu dadeki, umemzidi umri mshua
Kwa hiyo ni suala la Kimataifa sio! Vijana ondoeni hofu.Kawaida mbona hata mtoto wa kwanza wa macron anamzidi umri
Macron ni Mtz??Kawaida mbona hata mtoto wa kwanza wa macron anamzidi umri
Wee jamaa acha uongo tunawaonea wivu dada zetu si mama zetu😂😂Mara nyingi watoto wa kiume wanawaonea wivu mama zao
hakika mkuuKwa hiyo ni suala la Kimataifa sio! Vijana ondoeni hofu.
Dogo 25 ajiandae kuwa mume wa President ajae 2035 kama mke wa Macronhakika mkuu
Kawaida mbona hata mtoto wa kwanza wa macron anamzidi umri
Nimemuongelea macron ili mfahamu kwamba hilo jambo ni la kimataifa.Macron ni Mtz??
We hilo unaliweza?