Aisee nimecheka sana ila nikaishia kusikitika. Kama hii ni kweli basi vijana wa kileo wamefikia breaking point

Aisee nimecheka sana ila nikaishia kusikitika. Kama hii ni kweli basi vijana wa kileo wamefikia breaking point

Dogo 25 ajiandae kuwa mume wa President ajae 2035 kama mke wa Macron
mke wa macron kamfundisha macron chekechea, wakati huo tayari ana mtoto, kwa upendo aliokuwa anamuonyesha, macron akamwambia, "nikiwa mkubwa nitakuoa"
 
Nimemuongelea macron ili mfahamu kwamba hilo jambo ni la kimataifa.

kabisa mkuu, na nakuapia mtoto atanipenda na kuniheshimu bila kutumia nguvu.
Kwa tamaduni zao kina Macron ni kawaida, ila kwetu utakula ngeu.

Sio wewe kuwe mume, wewe uwe nafasi ya mtoto. Yaani mama yako awe anashenyentwa na dogo uliemzidi umri na atake umuite baba.
 
hawa mama wanaovulia chupi watoto wengi wagonjwa au walemavu wa akili
 
Back
Top Bottom