granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
mke wa macron kamfundisha macron chekechea, wakati huo tayari ana mtoto, kwa upendo aliokuwa anamuonyesha, macron akamwambia, "nikiwa mkubwa nitakuoa"Dogo 25 ajiandae kuwa mume wa President ajae 2035 kama mke wa Macron
Daah. Kwamba Hana demu pembeni?mke wa macron kamfundisha macron chekechea, wakati huo tayari ana mtoto, kwa upendo aliokuwa anamuonyesha, macron akamwambia, "nikiwa mkubwa nitakuoa"
Kwa tamaduni zao kina Macron ni kawaida, ila kwetu utakula ngeu.Nimemuongelea macron ili mfahamu kwamba hilo jambo ni la kimataifa.
kabisa mkuu, na nakuapia mtoto atanipenda na kuniheshimu bila kutumia nguvu.