Bosco Ntaganda
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,636
- 2,020
Tuma pichaNipo huku uganda mashariki yaani wadada wa kiganda wanavaa uchi halafu nikawaida kabisa wala hawashangai, tumejikuta kuanzia wadada wa kitz na wanaume wote tunabaki mdomo wazi. Halafu kuhusu uzuri kuna maeneo na maeneo kunabaadhi ya sehemu ambazo hakun interaction sana kunapisi mbovu vibaya mno. Kabila la wanyankole pisi zimenyooka vibaya sana yaani ni wazuri hatari
Picha zao ziko wapi sasa tuthibitisheHongereni wana singida.
Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo
Weweeee🤣
Ila ukipata katoto keusi unaona nomaWeeeeee basi mimi nitoe kwenye hao aloooh, sijawahi penda weupe katika mwili wangu.
VyoteWakali au weupe?
Hii ni kweli🤣🤣🤣🤣Miguu kama migagi imekakamaa 😂😂
Weusi sana waleUkipata nauli Tembelea. Uganda kwa Museven baada ya hapo utabaki kutafuta hela tu na sio wanawake
Labda hiyo pisi white ya Singida uichague wewe mazee sio hizi tunazoziona hapa Chuga..Nimezunguka mikoa mingi sana , chukua pisi kali nyeupe ya singida weka na pisi kali nyeusi ya kigoma , kigoma itashinda.
Makaa ya mawe ya kiwira na wao hawajatofautiana sana unaikuta pisi nyeusi balaa utadhani half beki mbili ya Yanga kitambo..Uganda wazuri sana kuna pisi moja Black beut nilisoma nayo imekamilika kinouma macho ya kusinzia dimples nywele ndefu , shepnu matata na kimo cha twiga, mwanya, halafu ina tembea kwa catwalk matata sana
Wanatembea kwa kichwa😅Miguu hawana
Aisee cheki nundu hiyoHongereni wana singida.
Watoto kiuno nyigu, weupe wa kuonja, wezere kiasi, ngozi nyororo
Weweeee🤣
View attachment 3399908
Miguu kama ya mtoto mdogo bwanaWanatembea kwa kichwa😅
Hii ni uhakika🤣🤣Miguu kama ya mtoto mdogo bwana
hapana sioni noma hata njoo unipeeIla ukipata katoto keusi unaona noma
Mtazamo wakoKuna weupe ila sio wakali na kuna weusi wakali
Wapi nimesema sio mtazamo wangu?Mtazamo wako