Aisee singida ina watoto wakali na wala hata sio wabinafsi.

Na Katavi ongezea hapo!
 
Kiukweli hakuna MTU ambaye angependa kuzaliwa mweusi Ila lazima ujikubali .

Wanawake wenyewe wanajua huu ukweli.

Rangi ya mtume inapendwa dunia nzima
Weeeeee basi mimi nitoe kwenye hao aloooh, sijawahi penda weupe katika mwili wangu.
 
Hivi kwanini wanawake wengi wa singida wanakuja kufanya kazi za bar mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…