Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Tatiza litakuwa kwenye miguu.Lazima useme "wahanya uri mbuyane"?Weka picha kwa faida ya members!
SureNa kuna weupe wakali...mbona humalizi
MashaAllahUganda wazuri sana kuna pisi moja Black beut nilisoma nayo imekamilika kinouma macho ya kusinzia dimples nywele ndefu , shepnu matata na kimo cha twiga, mwanya, halafu ina tembea kwa catwalk matata sana
Ahaaaakweli mm hapana ningeshajikoboa mda sana ,,we sema hupendi mikaa
Wewe Kama ni mweupe ujue ushapitishwa katika MOYOkweli mm hapana ningeshajikoboa mda sana ,,we sema hupendi mikaa
Wewe mweupe halafu pisi acha kujitoa ufahamu πMashaAllah
Inatokea mmoja mmoja kujaaliwa kuwa complete package, wengine kina sie mupe muruke π
hapana mimi ni super black pureWewe Kama ni mweupe ujue ushapitishwa katika MOYO
Upo Kama nani , Kama Aunt Ezekiel au Hawa Nitarejea wa diamond?hapana mimi ni super black pure
Yule dada dancer alishawahi kuitwa black mamba na bebi wake baada ya kuachana,,sjui wampataaaUpo Kama nani , Kama Aunt Ezekiel au Hawa Nitarejea wa diamond?
Yule dada dancer alishawahi kuitwa black mamba na bebi wake baada ya kuachana,,sjui wampataaa
Hahaha hahahaWe kenge kumbe hii ni id yako mpya?π
hapana huyo mweupe kabisa,yupo kwenye wimbo wa lava lava tajiri, anapenda nywele za pinkHapana je Bonge la Dada ni Kama huyo ?
Basi Kama ni huyo , upo vzr black beauty mmojahapana huyo mweupe kabisa,yupo kwenye wimbo wa lava lava tajiri, anapenda nywele za pink
Weusi ni unyama haswaa ukiwa hauna mabaka mabaka yoyoteBasi Kama ni huyo , upo vzr black beauty mmoja
Weusi ni unyama haswaa ukiwa hauna mabaka mabaka yoyote
πππ Kumbe weusi ni urembo,, asante sanaHakika mrembo wa JF
Nipo huku uganda mashariki yaani wadada wa kiganda wanavaa uchi halafu nikawaida kabisa wala hawashangai, tumejikuta kuanzia wadada wa kitz na wanaume wote tunabaki mdomo wazi. Halafu kuhusu uzuri kuna maeneo na maeneo kunabaadhi ya sehemu ambazo hakun interaction sana kunapisi mbovu vibaya mno. Kabila la wanyankole pisi zimenyooka vibaya sana yaani ni wazuri hatariSema wana vaa mikato flani hivi , usipo kuwa makini unaweza nyetuka live.
Kuna weupe ila sio wakali na kuna weusi wakali