OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hapa unajianika na swaga za migodini Nyang'wale.Mwamba sufiani nisie Na kitengo maalum, nikikutaka nakupata muda wowote ule halafu nakubonyeza kizenji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa unajianika na swaga za migodini Nyang'wale.Mwamba sufiani nisie Na kitengo maalum, nikikutaka nakupata muda wowote ule halafu nakubonyeza kizenji
Ulipo nipoHapa unajianika na swaga za migodini Nyang'wale.
Hakuna cha dawa wala nini. Wanakamata mabwege tu. Mtu utapewaje kitu usichokijua tena na mtu usiyemjua halafu uambiwe tafuna na wewe utafune? Kama ni sumu? Kama ni dawa ya usingizi?Hao wanakua na dawa mkuu.
Yani ukithubutu kuwasogelea umekwisha.
Utapewaje kitu na mtu usiyemjua akuambie tafuna na wewe utafune?Mi washawahi kunifata wa hivi hivi eti una matatizo umerogwa leo sikj isingeisha ungekufa akanipa karatasi nitafune ile kutema ikatoka nywele ila mi hapo nikashtuka kwa kuwa wiki moja nyuma rafiki angu aliibiwa kwa staili hiyo hiyo so sababu alinihadithia nikajua ni wale wale nikamkataa
Hawamfuati mtu hivi hivi. Huwa wanaangalia sura, mwendo na haiba.Hamna masta wameniotea tu asee
Ni aina ya mazingaumbwe kama shule ya msingi mtu kumeza mtwangio mdomoni.Hizo nywele huwa zinatoka wapi? Kuna binti nae alishatapeliwa hivi alitafuna karatasi akatema nywele
Ilikuwa mda hiyo ni form 2 so nilikuwa bado yank tu uelewa mdogo, na hata kuniibia wangeiba madaftali tu maana nikuwa naenda tuitionUtapewaje kitu na mtu usiyemjua akuambie tafuna na wewe utafune?
Siku nyingine watakubamiza vikubwa zaidi ulivyonavyo hapo ndio utakua umejipataSiku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini aisee
Akaniambia nimkabidhi pesa zangu nilikuwa na Sh elfu 30 na simu akaniambia chukua hii dawa nenda mpaka pale kituo cha mwendokasi usigeuke nyuma wala kuongea na MTU ukifika itupe pale.
Ile nafika kituo cha mwendokasi akili inarudi kwamba huyu jamaa nimemuamini VP kumuachia simu yangu na pesa, nikageuka nyuma kumcheki simuoni nikaamua kurudi pale kilichofuata ni majonzi na kilio nimetapeliwa
Sitaisahau simu yangu ya Tecno spark 4 asee, niliumia sana siku hiyo
Karibu Daslamu Mkuu.Siku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini aisee
Akaniambia nimkabidhi pesa zangu nilikuwa na Sh elfu 30 na simu akaniambia chukua hii dawa nenda mpaka pale kituo cha mwendokasi usigeuke nyuma wala kuongea na MTU ukifika itupe pale.
Ile nafika kituo cha mwendokasi akili inarudi kwamba huyu jamaa nimemuamini VP kumuachia simu yangu na pesa, nikageuka nyuma kumcheki simuoni nikaamua kurudi pale kilichofuata ni majonzi na kilio nimetapeliwa
Sitaisahau simu yangu ya Tecno spark 4 asee, niliumia sana siku hiyo
Tecno Spark4, okSiku moja nipo kwenye mizunguko yangu ya hapa na pale maeneo ya Ubungo nikakutana na jamaa mmoja baada ya kuzungumza nae kwa muda akaniambia nimelogwa na kuanza kuniambia mambo ya nyumbani kwetu, akaniambia kama huamini tafuna hili karatasi nikatafuna nikatema nywele Daah si nikaanza kumuamini aisee
Akaniambia nimkabidhi pesa zangu nilikuwa na Sh elfu 30 na simu akaniambia chukua hii dawa nenda mpaka pale kituo cha mwendokasi usigeuke nyuma wala kuongea na MTU ukifika itupe pale.
Ile nafika kituo cha mwendokasi akili inarudi kwamba huyu jamaa nimemuamini VP kumuachia simu yangu na pesa, nikageuka nyuma kumcheki simuoni nikaamua kurudi pale kilichofuata ni majonzi na kilio nimetapeliwa
Sitaisahau simu yangu ya Tecno spark 4 asee, niliumia sana siku hiyo
Baada ya kubadirisha namba ya Siri nikawa nimekomesha ...ili nibidi nimpigie Dada mmoja wa tawi la makumbusho tigo akafika palePole! Ikawaje
Mkuu hayajakukuta we aya tu.Hakuna cha dawa wala nini. Wanakamata mabwege tu. Mtu utapewaje kitu usichokijua tena na mtu usiyemjua halafu uambiwe tafuna na wewe utafune? Kama ni sumu? Kama ni dawa ya usingizi?
Mkuu mimi siyo kinda. Na kwenye maisha na mishe nimeshakutana na matapeli wengi sana. Kuanzia wale walikuwa wanaitwa wafunga kanyaboya, wanywesha watu madawa ya kulala kwa kutumia chambo cha demu mzuri etc... Na wote hao wameshindwa. Only kwa sababu mimi sina tamaa na nikiona mtu anataka kunizoea bila mpango namkwepa. Trust me, tapeli bila wewe kuwa na tamaa ya kutaka shortcut hakutapeli. Na pia kuwa na imani za kishirikina nako kunasababisha utapeliwe. Mimi aliyeweza kuchukuwa kitu kwangu ni mdokozi (siyo tapeli) mmoja mwanamke. Alikuwa na ''mimba'' kubwa akaja sehemu jamaa aliniomba nimsaidie kuuza nguo za watoto, akawa ananiambia ''hebu lete ilee'', nikigeuka, anachukua vinguo vilivyokuwa mezani, anatumbukiza kwenye lile tumbo la ''mimba''. Kumbe hakuwa na mimba bali alikuwa ameweka uwazi kwa ndani wa kutumbukiza vitu na kwa juu kuna ki-mlango chenye zipu.Mkuu hayajakukuta we aya tu.